Ama kweli kila mbuzi atakula kutokana na urefu wa kamba yake.
Hivi Mama Bayi bado yupo.? Nakumbuka back then 2012 mashindano ya Copa coca cola kitaifa tuliweka kambi hapo shuleni kwa jamaa kibaha. Jamaa kaanza kupiga mahela kitambo sana.
Hiyo ni Annual Salary.
Hapo Take home inaweza kuwa ngapi kwa experience yako.?
2.Mimi napiga lugha niko B1 natarajia kumaliza mwezi wa 4.Njiaa nzuri ya kuingia huko ni ipi as per your experience.Niko na Bsc.in Mechanical engineering with 3 years experience.
Nimefatilia FSJ na BFD kwa mimi...
Ukipata kazi jichange change fanya mpango ukapige lugha ya Kijerumani( Deutsch)
Naona Manurse wengi sana wanakimbilia Ujerumani huko na ofcourse wanalipwa vizuri sana kigezo ni lugha tuu B1.
Haujachelewa fanyia kazi ushauri wangu.
Sisi watanzania tumechelewa sana ila Wakenya kitambo sana...
Hongera sana Chief.
Mimi pia niko na Bachelor of science in Mechanical Enginering na Currently nasoma lugha (Deutsch) niko A2 but plan nipige hadi B1 nianze harakati za kuja huko.
Any advice bro.
Wewe ulichomokaje bongo .? Kwa BFD,FSJ au uliiaply masters moja kwa moja from bongo.?
Na kugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.