Recent content by JOMA1976

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, apiga marufuku michango ya aina yoyote shuleni

    Hili swala la Elimu bure kwenye shule za msingi na Secondary naona haijakaa sawa... NIMETOKA KULIPA ADA YA MWANANGU WA FORM ONE SHULE MOJA HAPA ARUSHA.. 225,000/= SASA NIMEIBIWA AU? Naomba kujua hii thana ya Elimu bure..
  2. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco saivi mmekuwa wezi Sana... Mita zipo kwanini tunaletewa bills kwa makadirio na mita inafanya kazi? Tunaomba mrudishe zile bills za karatasi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Tatizo huyu ACACIA ni Nani?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Hapo cha-cha Hawa mabepari waliona kukimbilia mahakamani itakuwa issue maana hawakujua tunaushahidi gani wa kutosha. Sasa Jana wamekamilisha kila kitu na wamejua mapungufu yapo wapi na watatushtaki vipi. Na tumewafunulia kila kitu. Issue ngoma ni mahakamani tu. Kweli wametupiga Sana na bado.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyama vya Siasa kufanyiwa marekebisho: Mikutano ya hadhara kufutwa hadi wakati wa uchaguzi tu!‬

    Wale wabunge wa upande wa kijani ndio shida. Ikiingia tu mjengoni wao ndiooooooo.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Juliana Shonza aula, Maghembe out..

    Hongera kwa uteuzi huo mzuri Mr. Presdent. Ila naona wa kilimanjaro umeamua kuwamalizia kabisa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania HOJA MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    Kwa kweli madalali ni shida. Ila mda wao unakaribia kuisha.Tumieni KUPATANA achananeni na madalali.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    MWENYEZI MUNGU IBARIKI JF
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

    Huu mpango kwa sasa sio sahihi. Nchi bado changa Sana.Hata wataalamu wa mifumo hiyo Hakuna. Sasa hapo wachina si wanatutawala you.
  10. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Habarini za mchana... Wanawake wengi Sana wanakubwa Na majini Na mashetani kwasababu wanawake wanavutia Sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

    Tuvipi uhuru vyombo vya habari tuache kuvibagua
Back
Top Bottom