Recent content by Jokito

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

    Iwe kubwa mara ngapi? Ndoa ngapi zimevunjikq kwa wanawake kujigeuza jike dume, mtaani watoto wakiume waliogeuka kuwa mashoga kwa kulelewa na mama zao TU, madhara yamekwisha kuwa makubwa sana.na bado serikali inaangalia watu kama Joyce kiria wanaubili kwenye mitandao kuwapotosha wengine. Ku
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Kwanini yeye hanunui gari lake mwenyewe au hana mikono ya kutafuta pesa?
  3. J

    JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Bara kwenda visiwani ni kuhamia te na haramu?sasa Wapemba waliojaa kariakoo mwanza na na bara kote wana vibali au?!!!!!?????
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

    Yatasaidia kitu hudumia mtoto wako naye akihudumiwa na wazazi wake ndio maana utamuona na kumuoa.hacha ujinga wa kusema mtoto wa nje ya ndoa hakuna kitu kama hicho,kwani shahawa zako zote ulimwaga ndani na sio nje.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Kila unachopaswa kujua

    Kuna faida na hasara zipi za punyeto, wengine zinaleta uimara wa misuli na wengine zinalegeza misuli ukweli ni upi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Akinamama wakemewe kuwapa watoto majina yao

    Ujinga tu kwani akimpa jina la mama ndo matumizi yamepatikana? Sasa na mbegu mkatafute viwandani ili msipewe nao wanaume.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kahama itakuwa kama Jiji la Mwanza miaka 10-15 ijayo

    Usagala kisesa km 17.kisesa mwanza town km18
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kupona ukosefu wa nguvu za kiume kunakotokana na kupiga punyeto muda mrefu

    Unaweza kuwa nazo au kupoteza kabisa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kupona ukosefu wa nguvu za kiume kunakotokana na kupiga punyeto muda mrefu

    Nitumie dawa gani kupata nafuu maana uume umeshindwa kusimama kabisa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anajifanya mjuaji kwenye suala la bandari

    Lazima pia kuamini kuwa Kuna wanasheria wazuri Sana nje ya ofisi ya mwanasheria wanajua maswala ya mikataba kuliko wao nao tusikilize na kupokea ushauri wao.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Mishahara haiwezi kulingana kamwe hata taasisi zinazojitegemea ila wengine wanapata posho wote.halimashauri nyingi ni kujuana kwingi vinginevyo unastaafu hajawahi pata posho.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ushoga sio ishu tena! Sasa ni ndoa na wanyama

    Inabidi tuwe wakweli, shinyanga wakikamata mchungaji wa mbuzi akifanya yake akashitakiwa na kutozwa faini ya 50000.katavi pia walikamatwa akifanya na ng'ombe.ukerewe kaka na Dada walipea mimba na kuzaa watoto 2.rukwa mtoto wa mwisho kamuoa mama yake mzazi baada ya baba kufariki Hadi walihojiwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Naota ndoto kila siku nipo na mdogo wangu aliyefariki

    Hacha kumuwaza na kumufikiria hall hiyo itaisha taratibu sio ghafla maana ulimpenda sana.
Back
Top Bottom