Recent content by jokielias

  1. J

    Nyumba ya kupanga mikocheni

    Ni nyumba nzuri. Ipo karibu na barabara
  2. J

    Nyumba ya kupanga mikocheni

    Acha uvivu njoo kwenye simu ulekezwe ni wapi.
  3. J

    Watanzania kwenye jeshi la Marekani

    Changamoto ya majeshi ya US na Ulaya ni kwamba mifumo Yao ya ajira ni za mikataba. Siyo kama Bongo ukiajiriwa Jeshini Mkataba ni permanent mpaka unastaafu. Kwa Majeshi ya US na Ulaya. Ajira zao ni za mkataba. Ukiingia na elimu ya kawaida utapiga kazi miaka 4 mpaka 7. Unatoka unarudi uraiani...
  4. J

    Nyumba ya kupanga mikocheni

    Habari wadau, Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza. Mazingira yake: Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa. Ni Nyumba ya Ghorofa moja. Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje. Parking space kubwa. Kodi : Million 4 kwa mwezi. Inafaa kwa...
  5. J

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Ajira portal wameandika ratiba tu, hawajaandika written interview inafanyika kituo gani kwa Dar. Ndiyo maana nimekuja huku Jamii forum kuomba msaada.
  6. J

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Asante kwa Hilo mkuu basi ngoja nisubiri.
  7. J

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  8. J

    Msaada interview: are you currently working now??

    bora mkuu umeongea ukweli, mimi ni mhanga nimeomba kusaidiwa, halafu wadau hawajaleta majibu sahihi ya swali ya interview, nimeomba msaada hapo, naamini kuna wadau wana shauku ya kutaka kujua.
  9. J

    Msaada interview: are you currently working now??

    tatizo inakuja pale unapofanya interview serikalini na mnajua jinsi jamaa walivyokuwa hawana huruma. Ukisema ukweli tayari wazee wa utumishi wamekufyekelea mbali. Msaada hapo tafadhali
  10. J

    Msaada interview: are you currently working now??

    Habari wadau, poleni Kwa wale wote ambao tunatafuta Ajira. Hii Mada nimeanzisha ili tuweze kusaidiana Katika kujibu hili swali. Inaweza kuwa swali rahisi lakini ikawa swali la mtego, na wengi wamefeli interview Kwa hilo swali. Are you currently working now?? Hili ni swali ambalo Kwa wakati...
  11. J

    second round application for Bachelor itakuwa lini

    Na mdogo wangu namfanyia application ya bachelor lakini naona dirisha la usajili umefungwa kwa vyuo vyote, ningependa kujua hakuna nafasi ya usajili wa pili??? naomba msaada hapo.
  12. J

    Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

    ni kweli mkuu kwa wanafunzi wanaoenda kusomea kozi za afya, mifugo na kilimo wanasoma miaka 3 mpaka kupata cheti cha diploma na sijajua kama mfumo wao umebadilishwa au ni ule ule.
  13. J

    Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

    ok sawa nimeshakuelewa mkuu. asante wadau.
  14. J

    Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

    kusema kweli mkuu kwa nafasi za chini kabisa katika halmashauri zote walikuwa wanaweka vigezo vya nta level 4 basic technician certificate, lakini naona kuanzia mwaka huu mfumo umebadilika naona vigezo wameongeza wameweka technician certificate level 5. sasa hapo panachanganya kwasababu kozi ya...
Back
Top Bottom