Naitwa Jonas napatikana Dar es salaam nimeshatafuta kazi bila mafanikio level yangu ya elimu ni form six nahitaji msaada wenu jamani kazi yoyote 0769134993
Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.