Recent content by joka57

  1. J

    Hivi ndivyo vyama vya upinzani tunavyovihitaji?

    Wakati watanzania wakipigwa viboko na kufungiwa kwenye sero za ofisi za watendaji kwa kushindwa kulipa fedha za ujenzi wa maabala nchini Kuna habari kwenye gazeti la raia mwema kwamba kuelekea uchaguzi mkuu 2015 CCM imejiandaa kukijaza mapesa chama kipya kilichoanzishwa hivi karibuni ili...
  2. J

    Biharamulo: Walimu Shule za Msingi watumia vipande vya Mihogo mikavu kuandika ubaoni

    Biharamulo. Walimu wawili wanaojitolea katika Shule ya Msingi Msali, Kata ya Nyakahura, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera wanatumia vipande vya mihogo mikavu na mkaa kuandikia ubaoni baada ya kukosa chaki. Wakizungumza shuleni hapo juzi, walimu hao walisema hawana chaki za kuandikia na kwamba...
  3. J

    Makonda, Kubenea na Isango on Star Tv juu ya yaliyotokea Ubungo Plaza

    Haya ameyasema leo usiku star tv kwenye kipindi akiwa na saed kubenea 1) anasema kwamba serena hotel alialikwa kwenda kuzindua kinywaji lakini kinywaji hakijui jina lake 2) mwanzoni amesema alipoenda pale mbele ya jaji warioba eti alimuambia tuondoke mzee lakini baadae tena anasema alipomuona...
  4. J

    Halima Mdee asambaratisha CCM Shinyanga, amnyakua Kigogo CCM Mkoa

    WANAKIJIJI wa Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamewatoa machozi viongozi waliokuwa wameambatana na msafara wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee, baada ya kuwaonyesha majeraha ya risasi walizopigwa na polisi kwenye mgodi wa almasi Mwadui unaoendeshwa...
  5. J

    Hapa ni kwa mr misifa-sasa sijui nani yuko salama kati yao?

    MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), Halima Mdee, amebomoa ngome ya mbunge wa Chato, Dk. John Magufuli kwa kuzoa wanachama zaidi ya 300 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwa katika ziara yake wilayani Chato, Mkoa wa Geita. Dk. Magufuli ambaye pia ni...
  6. J

    ACT inavyoenda kupenya kati ya UKAWA na CCM

    Dotto C. Rangimoto Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kwamba watanzania hawahitaji muungano wa upinzani tu na NDIO MAANA ACT IMEAMUA KUUNGANA NA CCM ili kuvunja nguvu za upinzani. ACT chama cha mapesa ya MAFISADI
  7. J

    Dira ya UKAWA ni daraja la machafuko ya kisiasa

    Hivi wewe chizi na machizi wenzenu mnafikiri hivi vipropaganda vyepesi vinaweza kuwakatisha tamaa hawa jamaa. kwanza mmeanza na ruzuku mmeona cd inaanza kubuma mmeanza tena sijui atakayemuunga mwingine mkono wote wataanguka na mwingine ataanguka. pumbavu zenu good for nothing. OOH hata waungane...
  8. J

    Jaji ramadhani-uchaguzi mkuu 1995 ulihujumiwa

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyosimamia uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa wa vyama vingi vya siasa wa mwaka 1995, Jaji Augustino Ramadhani, amesema kwamba uchaguzi huo katika jiji la Dar es Salaam ulihujumiwa. Jaji Ramadhani alibainisha hayo katika...
  9. J

    Neema yaja nchini, Intaneti kwenye taasisi za umma bure, bei ya smartphone sh 65,000

    BAADA ya ile rekodi iliyovunjwa china nafikiri hii ni rekodi nyingine imevunjwa? Hata mtoto mtoto aliyefeli form 2 ukimuuliza sasa hivi kama haya mwanadiwani unayoshangilia ni maendeleo anaweza akakucheka sana na kukutemea mate Kwa mtazamo wangu na elimu yangu duni niliyopewa kupitia saint...
  10. J

    Neema yaja nchini, Intaneti kwenye taasisi za umma bure, bei ya smartphone sh 65,000

    KAMPUNI ya Viettel ya Vietnam, inakusudia kuingia katika soko la simu la Tanzania kwa kuleta simu za kisasa zenye uwezo mkubwa (smart phone) kwa bei ya chini katika miaka mitano ijayo kuanzia 2020. Kampuni hiyo, ilimweleza hayo Rais Jakaya Kikwete juzi, kuwa itateremsha kwa kiasi kikubwa bei...
  11. J

    Huwa wanajisiakiaje wakiona hivi ?

    MIEZI michache baada ya mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), kumlipua bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, akidai anamiliki maelfu ya ekari za ardhi katika maeneo mbalimbali nchini, safari hii amemfuata jimboni kwake Muleba Kusini na kuahidi kula...
  12. J

    Habari na Picha: Mapokezi na ulinzi wa Rais Kikwete nchini china, akutana na mabalozi wa Afrika.

    Ndugu yangu kada mwaminifu ulishawahi kusema JK akiwa Rais utahama nchi vipi bado hujahama? Kwa watu wenye akili timamu suala la rais kupokelewa na pikipiki nyingi sio la kujisifia kwamba amevunja rekodi. rekodi ambayo imevunjwa ni ya kusababisha maisha maisha magumu kwa watanzania.mfano bajeti...
  13. J

    Habari na Picha: Mapokezi na ulinzi wa Rais Kikwete nchini china, akutana na mabalozi wa Afrika.

    MWEZI wa tisa (9) wanasayansi wa INDIA walivunja rekodi kwa kutengeneza kifaa cha kupeleka mwezini kwa ajili ya kufanya tafiti mbalimbali.kifaa hiki kilitengezwa kwa ghralama nafuu sana na hii ni maendeleo ya sayansi na teknolojia. Lakini sisi watanzania tunavunja rekodi kwa kupokelewa na...
  14. J

    Act chama cha wazalendo

    Wakuu nimesoma gazeti moja la leo samson mwigamba ambaye ni katibu mkuu wa chama pacha cha watawala ACT akipingana na boss wake zitto kabwe akisema jambo la UKAWA kuungana ni zuri na lina TIJA lakini boss wake ambaye ni zitto kabwe yeye anasema hawa UKAWA ni wasaka tonge. Jana walitoa taarifa...
Back
Top Bottom