Hahahaaa utasumbuka sana lukosi adi utatoka damu,ila najua dawa inakuingia pole poleee adi utapona tu Cdm mziki mwingine bana hizo hesabu zako feki wapelekee magamba wenzio..
Kwel kama lilivo jina lako na ndivyo unavofikiri mwanamke gan wewe muongo namna hii,hivi kwel ww wa kumnyoshea dokta slaa kidole,na ww huna ata bwana wala ujui wa kesho atakua yupi,si bora dokta yeye ana josephne,,
Hi Watanzania tumeonekana mazuzu kutokana na uongozi usiojali mambo ya msingi ya kuendesha nchj ukianza na elimu, raslimali, uhamiaji, taratibu za ajira, umachinga wa wageni , dawa za kulevya zinauzwa na viongozi wakubwa na watoto wao wanaua ndugu zetu endeleeni kuwachagua ccm ambao hawafikiri...
Mkuu zinjathropus,ni bora ingekua hivyo na si kinyume chake uzuri unayaandika haya ukiwa unaujua ukwel in and out anyway ndio aina ya wanasihasa tulioko nao nchi hii,ila this time mtatoka tu...
Kiukwel mbunge yupo sahihi kabisa mana wangeweza kuchelewa tu mafisadi wangepiga bao,nahisi pia kuna hali ya wananchi hapo kunusa kupigwa bao ila si mbaya mali si yao bana wagawane tu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.