Recent content by jojolito

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kufanya TV show

    Ndo nataka kujua inatakiwa na how much na utaratibu wake
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kufanya TV show

    Ndo nataka kujua inabidi uwe na how much?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kufanya TV show

    Kufanya Tv show
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi msimu huu wa sabasaba

    Kuna aliyeenda max malipo?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kufanya TV show

    Habari zenu, naomba msaada kwa anayejua mtu ukitaka kuwa na TV show yako mfano wanawake live, mkasi na kama kilivyokuwa cha Wema Sepetu, anatakiwa afate utaratibu gani na inaweza cost sh ngapi kwa kuanza?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Asanteni sana kwa maneno yenu yanayonipa moyo na nguvu ya kutokata tamaa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Nimeeleza mkuu mume nae alienda kupima yupo sawa, asante sana mkuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Asante sana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Habari zenu, Mi ni mwanamke wa miaka 26, nina miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata; nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa. Nikaenda Chanika kwa dokta. Kapona...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi msimu huu wa sabasaba

    Wapendwa tujuzane zaidi hata mimi nataka
Back
Top Bottom