Recent content by Johny Mkalawa

  1. Johny Mkalawa

    KWELI Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo na maji ndani yake kukiwa na mimea iliyoota imetengenezwa kwa Akili Mnemba

    Imetengenezwa, ukiangakia baadhi ya vipande vya lami vinaonekana kuwa na nyasi zilizoota juu yake
  2. Johny Mkalawa

    KERO Shule ya Sekondari Vituka (Dar) inatutoza Tsh. 30,000 kwa ajili ya Vyeti wakati hatuna madeni

    𝐊𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐡𝐢𝐲𝐨 30,000 𝐭𝐨𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐚 𝐜𝐡𝐞𝐭𝐢 𝐫𝐮𝐝𝐢 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐓𝐀𝐑𝐈𝐌𝐄. 𝐇𝐢𝐢 𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐢𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐬𝐲𝐬𝐭𝐞𝐦 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐨 𝐳𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐜𝐡𝐞𝐥𝐞𝐰𝐞𝐬𝐡𝐚. 🤣 𝐔𝐭𝐚𝐩𝐨𝐭𝐞𝐳𝐚 𝐌𝐮𝐝𝐚.
  3. Johny Mkalawa

    SoC04 Turudishe tabasamu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi

    TURUDISHE TABASAMU KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI. Picha na: www.shutterstock.com Kuelekea Tanzania tuitakayo ni muhimu kuandaa Sera, Sheria na Mipango ambayo itawalinda na kuwarudishia Tabasamu watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism). Hakika ni Aibu kubwa kwa Taifa ambalo lina Miaka zaidi...
  4. Johny Mkalawa

    DOKEZO Moshi: Watumishi wa Mkataba Hospitali ya KCMC, tunakatwa fedha ya Bima ya NHIF lakini hatunufaiki na huduma

    𝐇𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐰𝐚 𝐬𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐩𝐢𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚. 𝐍𝐇𝐈𝐅 𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐫𝐨 𝐭𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐰𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐞 𝐊𝐢𝐭𝐢𝐭𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐚𝐨. 𝐈𝐦𝐚𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐆𝐥𝐨𝐯𝐞𝐬 𝐧𝐚 𝐛𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐨 🙂🙂 𝐍𝐈 𝐇𝐔𝐙𝐔𝐍𝐈
  5. Johny Mkalawa

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    𝐊𝐮𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐲𝐞 𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐣𝐢𝐩𝐲𝐚, 𝐲𝐚𝐧 𝐡𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐣𝐮𝐭𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 🤣
Back
Top Bottom