Habarini wandugu,
Nimekaa nimewaza kuhusu haya makanganyiko yanayoendelea kuhusu hii kodi mpya,
Wengi tumejikita kuuliza kuhusu wapangaji kumlipia mwenye Nyumba basi.
Binafsi naona kuna shida au uonevu sehemu nyingine ambayo tunaisahau kuiulizia.
Nyumba nyingi za pembezoni mwa mijini nina...
Issue ipo hizi, unapofungiwa umeme wanakuunganisha moja kwa moja kwenye Matumizi makubwa ya Umeme utatumia hivyo kwa miezi 6.
Baada ya hapo unatakiwa uende kwenye Ofisi ya TANESCO ya kwenu ukawaeleze hili, ukifika pale wataangalia kwenye mifumo yao kama utakidhi watakuhamisha,
***********...
Leo nimewapata watu wa Mkuranga wamenifahamisha kuwa bado vifaa (meter) hawajaletewa kutoka makao yao makuu ambayo ni kibaha,
Niendelee kusubiria hadi itakapokuwa tayari, kwa jibu la haraka ninaelekea kufikia siku ya 60, kimkataba tu kisheria makubaliano niliyopewa kabla sijalipia niliambiwa...
Majibu yenu ni hivyo hivyo siku zote, nimereply post yangu ya nyuma ambayo mliniuliza the same qns na nikawajibu.
Any way
Jina: Johnson mgaya
Simu: 0768900531
Eneo: mkokozi
Wilaya: mkuranga
Tatizo: kuungaishiwa umeme
Muda: siku 30 zimeshapita tangu nilipie umeme
Mazingira: nguzo ipo...
Hivi tanesco siku 30 za kufungiwa umeme huwa ni za nini? Ni kweli upatikanaji wa vifaa unaweza chukua huo muda wote? (Just meter tu) mtu unaamka unaangalia nyaya zimepita bati lako lakini wewe huna nishati ya umeme, mbaya zaidi majibu yenu ni yale yale vifaa bado hatujapata, zikiwa tayari...
Mkuu usinichekeshe aisee,
Kwenye maisha sio kipato pekee ndio kinabadilisha maisha ya mtu,
Akili ndio kila kitu kwenye maisha
Kuna watu wanavipato vikuu lakini hawana hata viwanja, kuna watu wana mishahara mikubwa lakini hawana hata biashara pembeni kama backup,
Kwa mada yetu hii iliyopo...
Kwa kuwa walikuwa wengi na wote wapo comfortable, kusema kuwa ni zali la mentali tu leo sishawishiki kukubali.
Ila Nina hakika hii ndio ratiba yao ya kila siku.
Ofcoz kila kitu kina gharama ya uendeshaji, kwa biashara hii labda gharama ni manpower.
Kufata mzigo shambani, kuendesha baiskeli...
Mku umeandika vitu vichache sana ila vina maana kubwa sana,
Hapo kwenye nguvu anayotumiwa ni kubwa kuliko faida anayopata ndio hapo binadamu tupotofautiana mawazo,
Pengine ndio maana kuna watu wapo tu duniani kazi yao kuuza mawazo,
Ila. (Acha nitoe fursa ya bure hapa)
Mtu unaweza ukatafuta...
Nipo zangu feri kwenye kivuko cha Magogoni narudi nyumbani saa 7 mchana huu.
Kichwa hakiko Sawa maana “mchongo” niliofata town umebuma hivyo nikajiwazia zangu heri nirudi mapema nikacheze na watoto wangu tu atleast.
Mar pah macho yangu yanavutwa kutazama kundi la wauza madafu wengi wakiwa...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Heri ya mwaka mpya.
Napenda kuipongeza shirika la umeme Tanzania kwa kunifikia kwa awamu ya kwanza.
Baada ya kuandika ujumbe huu juzi jumamosi nilitembelewa na wahusika nyumbani kwangu nashukuru wamejionea Changamoto tunayoipata na uhitaji tulio nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.