Anyone anaeza nisaidia jinsi ya kupata Spotify app on my phone na niweze kuitumia cause kila nikiidownload naambiwa service ya Spotify haipatikan tanzania kama kuna mwenye crack on how to crack it plzz naomba msaada.[emoji4] natumia iOS phone i phone 5s
Bro list iko fire [emoji91] bongofleva siwez sema siskiliz kabisa naskiliza bongo hip hop ila kuhusu abroad music aisee sanaa tu mzee apa namskiliza travis scott butterfly effect unaipata hii ngoma
Napenda mziki sana(good music) naeza sema music is my life! Naskiliza kila siku anyone yuko na feelings za mzik kama mm if ur interested nataka kufungua group la whatsapp for only music lovers(good music) napendelea sana miziki ya nje ila pia naskiliza miziki yetu(kama unatumia iOS itakua poa...
Hahaha vikings nishacheki sema kimtindo brother napenda sana blacks series na nyingine nimependaga ni narcos tu! Zingine drama nyingi afu fiction zakutosha
Vijana wengi wako mitaani na majumban bila kazi wala ajira wengine wamemaliza vyuo hawana kazi na wengine ambao hawakubahatisha kufika elimu za juu.Wote hawa wengi wao wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo yatakayoleta heshima na maendeleo katika nchi yetu kuna wenye ideas kubwa na nzur ila hawana...
Vijana wengi wako mitaani na majumbani, wengine wamemaliza vyuo kazi hakuna, wengine hawakupata bahati ya kupata elimu za juu ila wote hao wana uwezo mkubwa na idea nyingi nzuri za kuleta maendeleo katika nchi yetu.
Je, wana nafasi gani serikalini na wanasaidika vipi? Ifike mahali serikali yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.