Recent content by johnson Mutakyamilwa

  1. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Jamani sio wote tunaofanya hayo mabaya. ingekuwa na mimi napokea rushwa ungekuta niko kimya. wanaopokea si wote jamani, tuoneeni huruma wenzenu
  2. J

    Huu uonevu unakubalika siku hizi?

    Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi kuhamishwa kutoka kituo kimoja Kwenda kingine ili kuimarisha utendaji na kuleta ufanisi. Tatizo kubwa ni kuwa wafanyakazi tunahamishwa bila kulipwa stahiki zetu. Mkuu wa Rasilimali aliyepo hapo anatulazimisha Kwenda kwenye vituo...
  3. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Sasa mtumishi anapoambiwa atafute fedha zake ahame kana kwamba alijihamisha mwenyewe, je hii ni haki ?. Je Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan anajua kuwa kuna uonevu wa namna hii TRA ? Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Khasim Majaliwa analijua...
  4. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi kuhamishwa kutoka kituo kimoja Kwenda kingine ili kuimarisha utendaji na kuleta ufanisi. Tatizo kubwa ni kuwa wafanyakazi tunahamishwa bila kulipwa stahiki zetu. Mkuu wa Rasilimali aliyepo hapo anatulazimisha Kwenda kwenye vituo...
  5. J

    Haki na wajibu kwa watumishi wa Umma

    Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi kuhamishwa kutoka kituo kimoja Kwenda kingine ili kuimarisha utendaji na kuleta ufanisi. Tatizo kubwa ni kuwa wafanyakazi tunahamishwa bila kulipwa stahiki zetu. Mkuu wa Rasilimali aliyepo hapo anatulazimisha Kwenda kwenye vituo...
  6. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Kwenye vituo vyote vipya mabosi walioko huko kawana mafungu ya kumlipa mtu zaidi ya kusema waliohamisha ni makao makuu kwa hiyo ndio watakaolipa. halau kwa nini nikamsumbue kiongozi wa kituo kipyya wakati kanuni ziko wazi ?
  7. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
Back
Top Bottom