Naamini kuwa matokeo ya mkutano mkuu was CCM ndio ulikuwa na wajumbe walionunuliwa kumshabikia Lowassa, hakika hana ushindi ni uongo mtupu. Mtaona Gari lililojaa rangi ya kijani litakavyo pasua milima, mmekuwa kama lori la kupakia mawe, halichagui aina ya jiwe. Poleni sana, Ikulu sio night club
Kwenye mbio za mwenge vumbi hutawala ila magari hayaachi kuendelea mpaka mwisho wa safari tizama ngombe mwenye kilogru 500 hiweza kutikisa mkia wake he mkia humtikisa ngombe huyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.