Wanawake ndivo walivo hata mke wako mwenyewe nenda kagombee uongozi wanyuma kumi hapo mtahani kwako uone kama utapata kulayake.
Kwanza mimi na wew tukigombea kula ya mke atnipa mimi
Mm namkubali sana jpm tena namunga mkono 100% tena mbka kufiki 2020 itakuwa ni aslimia 500 %
Hiki anacho kifanya drt john pombe joseph magufuli kilikuwa kinahitajika na wananzania wengi kwni ndo kilikuwa kilio chao.
Mana jk walisha sema kaziyake kubwa nikuchekacheka tu sasa hiki chuma hakitaki...
Kwakuwa kiongozi bora January makamba hafai bado kwa maomiyangu .
Kwa sababu hata swala la mawasiliana himemshinda je ataweza kuliongoza hii taifa ambalo liko kwenye majanga tayari?
Ebu afanye kazinyingie amboyo haito mpa comprecatios
Kazana baba filikunjombe ,jembeletu, katapila na msamaliamwema .tunashukuru unatujali sana ciciwanaludewa unatupigania kufanakupona
Tupo nyumayako tunakuombe hata uchaguzi ujao uweze kushinda kwa kishondo .
Mimi naona anaesema mama atachukuwa jimbo la ludewa yuko sahii. Japo kwauwezo woke wakufikiri jimbo ndo umefika hapo alipo msameheni bule hajui atendalo huyu mwa nadam mwenyemapungufu.
Angekuwa na uwezo wakuona mbali angeona au kusoma nyakati tu. But mimi nasema kuwa filikunjombe...
Kweli nimeamini kuwa kunamijitu haijui kusoma hata kuangalia picha tu imekuwa shida sana .
Pole sana nduguyetu OLESAIDIMU usiye penda aendeleo yetu ssi wanaludewa. Napenda sana kama ungekuwepo eneo la tukio uwone mwenye kazi wanayo fanya wana nchi ndo ungepata jibu .
Pia hata cijui nianzie...
Nimekubali kuwa ludewa hatuna mbunge bali tunajembeleu ambalo kwa jina ni deo filikunjombe.
Jembe piga kazi kwakwenda mbele uciludi nyuma kwamana kunawabunge wako majimboni mwao hawajui chakufanya.
Na amini kuwa wewe ni mbunge pekee ambae unatambua utu wa sisi wapigakura wako .na ssi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.