Kwenu figganigga na wanasheria wengine,
Kwanza tunashukuru kwa elimu nzuri mnayotoa khs mambo ya kisheria.
Naomba kuuliza mambo yafuatayo:
1. Mikataba ya mauziano ya viwanja visivyopimwa iliyofanyika kwenye ofisi za serikali za mitaa bila kuwepo mwanasheria ina thamani gani kwenye ushahidi...
Mleta mada,
Hapo kuna mambo mengi:
1. Umesema kuwa jamaa hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake, hivi jamaa amejiuliza ni kwa nini mkewe kamtuma jamaa leo kumchukulia simu kwenye pochi wakati anajua pochi yake hiyo ina KY iliyotumika? Napata ugumu sana kuungana na wewe kudhani kuwa mke wake...
Mr. Ndumbayeye, maelezo uliyopewa si sahihi.
Kodi ya CAPITAL GAIN inakuwa ni 10% ya "gain" unayopata kwa kuuza ardhi au nyumba.
Kupata gain unachukua bei uliyouzia au thamani ya sasa then unatoa gharama zifuatazo:
(a) The cost of acquisition of the interest
(b) The expenditure incurred on any...
Kwa mtazamo wangu ni kuwa mpaka hapa "case" ilipofika, mlalamikiwa (HIM) ana kesi ya kujibu.
1&2. Mlalamikiwa, katika post # 156, anasema hivi, nanukuu "......huyu demu alitaka future na mimi na tulikubaliana ila sikutaka haraka haraka......" In my opinion, this confession by a defendant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.