Kama wewe Ni mtahiniwa ingia kwa website yao www.nbaa.go.tz then uingie kwenye account yako under Usajili yapo materials in soft copies. Kila la heri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu NBAA unaweza kufanya mitihani hata ukiwa unafanya kazi, japo Ni migumu lakini ukiweka Nia unaweza. Good luck.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba kwa mwenye uelewa/ ufahamu wa kutosha kuhusu mitihani ya National Business Examination ( NABE).
1. Inasimamiwa na Wizara gani
2. Namna ya kujiunga
3. Qualifications zipi ninapata baada ya kuifanya na kufaulu
4. Mengine ya uelewa wake
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.