Recent content by Johne

  1. J

    JamiiForums Tanzania Barua yangu kwa mh rais Magufuli. Nimeguswa...

    bora kuishi sehemu hatarishi kuliko kukosa sehemu ya kuishi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Kasi ya Magufuli itapotea kwa spidi pindi bunge litakapoanza mana wabunge wa upinzani watampelekea majipu mengi hadi mtumbuaji atapagawa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    Kama alikuwa fisadi haijalishi cha msingi anashiriki harambee ya maendeleo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bilionea fisadi wa Tegeta Escrow, Rugemalila awa mfadhili mkuu wa CHADEMA

    na mahakama/serikali imemfanyeje Lugemalila
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    sasa utaibaje wakati huna elimu ya kukuwezesha kuajiliwa BOT! Mi nawashauri waislam wazingatie sana elimu sio madrasa na mihadhara
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    vp muh?mgo hana doa la ufisadi au unaongea usichokijua! Mnajishushia heshima bora muwe mnakaa kimya si lazma kucomment.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi kwa nafasi ya Afisa ugavi II

    Kichwa cha habari hakiendani na maelezo cjui tukusaidieje. Kichwa cha habari unataka kubadilishana kituo cha kazi, maelezo yako yanaonesha unataka kuhama kwenda sehemu uliyoipata.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa we ni nani nchi hii mpaka unagusa maisha ya watu kiasi hiki?

    Sasa yeye kajiuzu tangu 2008 kinashindikana nini umeme kuwa bure au nawe ndiyo walewale maboya kila linakoelekea wimbi nao huknhuko?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Magufuli hana hekima angejifunza kwa Lowassa pamoja na kushambuliwa hata na JK yeye hakumjibu. Hata hvyo malipo hapa hapa duniani na JK alimshambulia Lowassa kwa hiyo asikasirike.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Utumishi kwanini wamefanya hivi?

    Kuna watu huwa wapo kwenye database ya Utumishi wanasubiri nafasi wapangiwe. Hawa ni wale ambao walifanya oral interview na hawakubahatika kuitwa kazini. Hivyo nafasi zikitoka hupelekwa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    kwani ndiyo kwanza unaona au ndiyo kwanza inatokea?
  12. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    Je hyo ndo sababu ya kufuta uchaguzi
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    usichoelewa hapo nini?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mrema anabaki Na goli wazi Vunjo

    Bora kingunge ataisaidia ukawa kuwang'oa wazee waliosalia kuishabikia ccm kuja ukawa sio mrema kwa ccm
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM Lowassa tukutane hapa

    Nawaomba wana CCM wezangu tunaemuunga mkono Lowassa kuwa hakuna kura yake itakayoibwa. Pia ule mpango wetu wa kuhakikisha anapata kura za kutosha toka kwa wana CCM unaendelea
Back
Top Bottom