Recent content by john_thesmart

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nakupa code; kwenye biashara yoyote ya delivery ukisikia sauti ya mzanzibari kimbia haraka

    Nililogwa nikatoa advance ya TV miaka kama 6 nyuma, ila hawakuwa hata waZanzibar ni wahuni tu wanajifanya wapo zanzibar
  2. J

    JamiiForums Tanzania ICT Commission -Membership Registration

    Good day wakuu, Nahitaji registered member wa hii board ya ICT anisaidie mwongozo, kuna vipengele vinachanganya wakati wa kujaza online. Any guidance will be appreciated.
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Kweli kabisa, halafu ukiwaauliza kwanini ni kinyume na kilichoandikwa mwanzo wanatukana tu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania App za mikopo kama YakoMkopo, PesaSasa kupotea Play Store – hii ni hatua sahihi?

    Kwahiyo wanaodaiwa inakuwaje? Maana kama App haipo sasa watalipaje au wawatumie hao wanaowasumbua kwenye simu? Ambapo naona si sawa
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Kama vipi weka jina la app na hizo namba wanazokusumbua nazo, inawekezana wahusika wapo humu wakachukua hatua.
  6. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Issue ni general sio personal, fungua ubongo kidogo
  7. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Kama deni lina'make sense ni sawa unalipa, sasa kuna mtu alikopa 15,000 tu anakuja kuambiwa alipe 43,500 ni sawa? Na point ya msingi ni uwepo wao kisheria na hiyo mandate ya kutukana watu na kusambaza taarifa mitandaoni ni sawa? Mtu akiwa na shida haina maana mtu mwingine atumie hiyo kama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza riba kubwa kupita kiasi kwenye mikopo wanayotoa. Sina uhakika kama kampuni hizi zote zimesajiliwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli TALA mikopo

    Hakuna kampuni nyingine inayokopesha hapa mjini kwa masharti nafuu?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    Amepanic na yeye
  11. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    HAYA BEI IMEPUNGUA, Njoo na 240,000. Pia napokea exchange nipe simu na hela
  12. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    Karibuni, mzigo upo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    Karibuni, mzigo upo
  14. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    duh...jamaa atarudi na matusi tena
  15. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    Karibuni
Back
Top Bottom