Jaman nmeuliza swali nikitegemea nitajibiwaa kupitiaa sababu za kitecnohama zaid. Nilitegemeaa wanatechnolojia mtanijibuu ubora wa simu flan na udhaifu wa simu flan. Niko sereous kuhusu hilo swali coz mi mambo technology niko shallow saana. Msaadaa wenu plz
Wataalamu wa tecnolojia naomben mnimalizie huu mkanganyiko. Kati ya SAMSUNG S5 na TECNO C8 ipi simu bora na nzuri katika matumizi?? Zinanichanganya saanaa!!!
Huwezii linganishaa tecno na Samsung pasipoo facts??
Tecno inauzwaa chin ya laki 3 wakat Samsung inauzwaa had zaid ya million..!!
Kila kitu ni boraa kulingana na matimiz na kununua kityu cha gharama inategemeaa kipatoo cha mtuu.
Ushaur: usiwadharau wanaotumiaa simu za chinii kisaa we Una uwezoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.