Recent content by JOHN MRUTU

  1. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Sikupata bahati ya kusoma ilani za chama labda walikuwa wanatekeleza ilani ya chama vinginevyo siwaelewiii....
  2. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Mimi natamani aite press akanushe kuwa alidanganya watanzania.....
  3. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Bora hata swala la umeme kulikuwa na pressure iko nyuma yao na ina wezekana hawana hela ya ku-rescue hiyo situation na walijibu wakijua baadae watakabiliana na hali itakavyokuwa huko mbele. Sio hivyo tu wanaweza wakasema hata kuna break down imetokea tunajipanga kukabiliana na hii hali lakini...
  4. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Wangenyamaza kimya tu kungekuwa na tatizo gani? kwanini watoe tamko ambalo halitekelezeki, issue ni kwamba ni nini kilicho msukuma kutoa hilo tamkoooo.....
  5. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Hapa kuna kitu tatizo na sio dogo unawezaje ukatoa tamko kwenye vyombo vya habari alafu usilitekeleze na ukabaki kimya tu bila kukanusha. Jamani embu tutengeneze mfumo wa watu kuwajibikaa....
  6. J

    Hivi tamko la kushuka kwa gharama za simu lilikanushwaa?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wale watu wa mamlaka ya mawasiliano walitangaza kuwa kuanzia tarehe 01/03/2013 gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine utakuwa sh 34/= kwa dakika. na waliendelea zaidi kwa kusema wataendelea na huu mchakato kuhakikisha hizi gharama zinashuka...
  7. J

    Mbunge wa Tunduru adai udhibiti wa bahari uimarishwe

    Hiyo hospital yenyewe haina Dactari hata mmoja mwenye degree na nina uhakika hili mtutura halijui aliye kuwepo kaondoka mganga mkuu wa wilaya ni dentist. Sitaki kuzungumzia chochote kuhusu progressive kampuni ya kujenga barabara tunduru namtumbo ambapo mweshimiwa rais kwenye hotuba yake ya...
  8. J

    Majibu rahisi rahisi kwenye mambo ya msingii.....

    Mheshimiwa sana ametangaza matokeo ya kidato cha nne 2012 kukiwa na kiwango kikubwa kabisa cha kufeli daraja la kwanza la pili na tatu ni 25% ya watahiniwa wote. Inamaanisha kwamba zaidi ya 60% ya wanawake na wanaume wa kitanzania wazaa watoto ni wenye akili sifuri. Waziri anakuja na majibu...
  9. J

    Majibu kwa Hoja ya Uchochezi ya Ustaadh Ilunga: Serikali inamuogopa?

    Kiongozi fikiria in three dimension sheikh amekuwa very specific "akiuwawa sheikh mjiratibu na nyie mumuuwe askofu au padri na sio kuchoma magari ya watu" Bila kufikiria aliemuuwa huyo sheikh ni nani hata kama ni police. Huu ni uchonganishi wa mchana kweupe na ndicho kilichotokea Zanzibar wewe...
  10. J

    Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Jamaniiii ehheeee kudeal na huyu ni matumizi mabaya ya akili zetu anaweza akaquestion ubora wa J J MNYIKA kitu ambacho ninauhakika hata ccm wenyewe wanataka vijana wenye uwezo kama Mnyika kwa ajili ya kupata mawazo mapya kwenye hii nchi thinking tank. Moja kati ya hotuba za kikwete ndani ya...
  11. J

    Dr. Thomas Kashilila apingana na Spika Makinda kuhusu bunge kurushwa 'LIVE'

    Huyu kashilila anathani ana akili kuliko watanzania wote, nathani kalewa pia madaraka, aache watanzania wapime wanataka wafanya fujo au wanaolala bungeni si ndio democrasia na anataka kuwaficha nini? watanzania :ohwell:
  12. J

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Mimi mwenzenu napata shida sana na watu kama hawa na kunisababishia maswali mengi sana.. 1. Bunge kwao ni nini 2. Kazi za bunge ni nini? 3. Hicho wanachotaka tusikione bungeni ni ili nani akione? 4. Wanauchukuliaje uelewa na mtazamo wa watanzania kisiasa? 5. Ni kweli vile vinavyotokea bungeni...
  13. J

    Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

    Wewe nakufananisha na kiongozi mmoja alisema wanamtwara walikuwa sahihi kuandamana ili kujua maslahi yao kwenye gas kosa liko kwa wanasiasa waliowashauri kuandamane cjui kazi ya mwanasiaasa ni ninii? Walichofanya viongozi wa cdm nikuwapa raia number za simu za makinda na ndugai ambazo zipo...
  14. J

    Mh.RAGE 'akimsihi' mfuasi wa CHADEMA kuondoka

    ndooo maana alifungwa..... na FAT
  15. J

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Tumekubaliana tumeshirikiana tumependana tumeaminiana tumeoleana tumekuwawamoja tumeishi pamoja sasa wanatutenganisha wanatugawa wanatugombanisha jamani sisi ni wamoja tusikubali hili ..........
Back
Top Bottom