Migogoro migogoro migogoro,kuchafuana kuchafuana kuchafuana,siku za mwanzo nilipokuwa nasikia habari hizi kuwa Chadema yangu kuna migogoro na mitifuano ya ndani kwa ndani sikutaka kuruhusu moyo wangu kuyaamini haya nilijua ni maneno tu ya maadui wetu kisiasa,nikili wazi kuwa nilikuwa...