john mhagama
Member
- Jul 10, 2013
- 9
- 8
Tangu kutokea kwa tukio hili mimi ni miongoni mwa wa watu tulioumizwa sana na hali hii,sijaumizwa kwa sababu ya kuvuliwa kwenu vyeo mlivyokuwa navyo ila ni hali ya siasa ya chama mlichokuwa mnakipenda sana.
Nini mwisho wa haya yote ukizingatia kuwa wa Tanzania tulio wengi ni watu wa kuendeshwa na hisia sana kuliko utafiti au uhalisia wa jambo fulani.hisia za watu wengi katika hili zimegawanyika sana na wapo pia walioanza kuchukua hatua mbalimbali kwa kuongozwa na hisia zao.
Niwaombe ndugu zangu jipeni moyo mkuu kwa kukinusulu chama kama kweli mlikuwa na nia ya dhati ya kutukomboa wa tanzania,Kama kweli hamkutumika na CCM basi wenzenu watakuwa wametumika,si nia yangu kushamblia upande wowote ila katika hili nawaomba wote mtambue kuwa adui wenu ni CCM na si ninyi kwa ninyi.