Suppose imeandikwa kweli na msajili kama unavyojiridhisha. Je, "ni uongo" kwamba Katiba yao imevunjwa na hao Viongozi wao?? Maana msirusherushe shutuma tu na ukweli mkauacha
Hold on a second..Naona unaweka neno "mkutano mkuu" ilhali kikao kilichokuwa kinaelekea kufanya maamuzi hayo ya kihuni,ni "KAMATI KUU"
Isitoshe,hata ngazi stahiki kwa sakata hili,kwa mujibu wa Ibara ya 6,ibara ndogo ya 3 ngongeza ya 6,Kikao kilichostahili kama ni kuchukua maamuzi hayohayo ama...
Muongoza mjadala,tafadhali naomba kujuzwa,,maswali bado yanapokelewa??
Maana wengine hatukupata wasaa wa kuuliza kabla,kufuatia baadhi ya majukumu nje ya sehemu zenye mawasiliano
Pole kwa Mh Mwanjelwa na majeruhi woote waliokutwa na kadhia hiyo
Na mungu awape amani wote waliopoteza wapendwa wao
Kwa waliopoteza maisha,Mungu awaweke sehemu stahiki,kila mmoja kwa yake aliyotenda wkt wa uhai wake
Amin!!
.....
Bila 7bu za msingi?Unajua madhara ya kupasisha "wenye mapungufu ya kitaalam" ktk kada hii wewe?
Unajua mtu akishakuwa "specialist",anatakiwa awe ktk viwango gani?au unaongea tu.
Wangwe alipigwa risasi ya mdomo tena?!
Tobaaaa!!!!............................................................
Nimesoma uzi mzima mpaka hapo 31,na nimejifunza mengi sana....kuliko hata nilivyotarajia
Lakini jambo moja la wazi(and not b'se i doubt a 24yr old boy)someone has been using Deus's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.