Recent content by john kipepe

  1. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa kitongoji wa Manga wilayani Handeni auawa na mwili wake kuchomwa moto

    watu wana roho za kinyama...doh r.I.p
  2. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba....

    kumbe mm role model wako ehee
  3. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba....

    Ni ukwel na sio uongo wana jf.Mimi nina miaka 26 mwanaume kamili..natafuta binti wa miaka 20~28.lakini tuanze kama marafiki kwa mda kadhaa ili tuweze kuzoeana kwa kila hali... pm inahusika
  4. john kipepe

    JamiiForums Tanzania I am looking for a girlfriend

    Awe umri wa miaka 19~28. Follow me PM
  5. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    NATAFUTA KAZI ZA MAMBO YA STATIONARY.. Mm ni kichana umri miaka 22 naishi kigogo dar es salaam. natafuza kazi ya mambo ya stationary kwan nina ujuzi wa kitosha kuhusiana na mambo ya Microsoft office, excel,PowerPoint,publisher,na word. Kama upo interested nami tafadhal wasiliana nami kupitia jf pm..
  6. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18~30 Johnkipepe@gmail.com
  7. john kipepe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    Hii
Back
Top Bottom