Recent content by John Kehengu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

    We mwenyewe upo nje kwa dhamana. Ebu nenda karipoti huko.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

    Wema anapenda misifa kutaka attention tu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kishimba ni mmoja wa matajiri wakubwa Botswana

    Wewe ndo hujasikia, mimi nnazo izo tetesi mezani kwangu though sija-confirm.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jamani.. Jamani, serikali imeanza kutumia RANGE ROVER VOGUE kama STK..!?

    Mbona Vogue sio hata expensive ivyo kama haya ma-Vx na Gx kwa kwel hali ye2 ya kiuchumi haiko stable kiasi cha watumishi wa Serikali kutumia magari ya kifahari kama hayo. Na izo Range Rover jaman ndo aaahhh..!! Wingi Mafuta inayotumia na bei ya spare zake nikiwaambia hapa mtapata presha bure.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    Lakini ni kweli, ni dhahiri kwamba anajua muda mwisho ni 12:30pm sasa kwann ali-delay.? Mimi nahisi hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufanya ivyo ila naona mara hii haikuwa bahati yake.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    Hata kama alikuwa namna gani, hatupaswi kum-judge. Poleni sana wafiwa.
Back
Top Bottom