Recent content by John F Molel

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tangazo Feki la Ajira NIDA

    Taarifa muhimu; tunaomba kuwajulisha wananchi na umma kwa jumla kuwa tangazo la ajira linalozunguka katika mitandao ya kijamii si rasmi na halina ukweli wowote. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa haija tangaza nafasi za ajira. Hivyo tunaomba mnapokutana na tangazo hilo kulipuuza kwani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaendelea katika wilaya zote mkoani Tabora

    Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaendelea katika wilaya zote mkoani Tabora. Akizungumza afisa Usajili wa Mkoa wa Tabora Bi Grace Msacky amesema kuwa anawapongeza wananchi kwa kuonyesha uelewa mkubwa kujisajili Vitambulisho vya Taifa. Pia amesisitiza wananchi kuwafichua wale wote...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora azungumza na Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ahimiza wananchi kushiriki zoezi la Vitambulisho vya Taifa Akiwa katika ziara Wilayani Urambo Mkuu wa Mkoa Mh. Agrey Mwandri ametumia fursa hiyo kuwahimiza wananchi wa kijiji cha Ussoke Mlimani kujitokeza kwa wingi kusajiliwa katika zoezi la Usajili wa Vitambulisho Vya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tabora yasajili vitambulisho vya Taifa

    Hivi vitambulisho vyao vinatoka baada ya wiki tatu na kuendelea. Niliwahi kufika na kuuliza ofisini kwao wakati nafuatilia cha kwangu. kwamba wamesema wiki tatu mbona imechelewa. Wakanielewesha kwamba baada ya kukamilisha ule mchakato huwa wanakua na kazi nyingine nyuma ya pazia za kuhakikisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tabora yasajili vitambulisho vya Taifa

    Na mimi nimeipata hii habari ikawa inazingua kuwa uploaded. Asante Mtoa post na hongera Tabora.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kahama, Shinyanga: Wananchi wajisajili vitambulisho vya Taifa kwa wingi

    Hongereni NIDA naona mnajitaidi kusajili kila kona
Back
Top Bottom