Recent content by john baptiste

  1. J

    JamiiForums Tanzania Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Kwa kweli hakuna namna ya Ku proof kama huamini, isipokua Nina hoja chache tu (1)nisingekua hata na kifua cha kuja hapa kusimulia huu mkasa kama ningelawitiwa, (2) hata hapa kazini sina hakika sana kama ningekuwepo, ila nipo, jamaa ndie alimuachisha mkewe kazi kwa aibu, hiyo ni baada ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Wana jamvi nawasalim, Mwaka 2013 nilitokea kumpenda Dada mmoja hapa kazini kwetu, alikua ni kiongozi ktk moja ya idara za hili shirika letu, hatukua tunafahamiana personally isipokua kwa kupishana Mara kwa Mara hapa mjengoni, yy flour ya 4 mm ya 6. Uzuri wake hauna maelezo ya kawaida, hakua...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining kuachisha kazi wafanyakazi 600

    Acha wapigike
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kunywa pombe from now until morning

    Ni hataree
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Pembuzi: Ni rahisi kupunguza Mawaziri ila siyo Wizara

    Ni kweli kabisa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimekua na mashaka na huyu mtoto tangu kuzaliwa kwake

    Huyo mtoto ni wa jamaa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

    Hata hivyo huyu mkenya ni kiboko
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka rekodi, siku 25 bila Mawaziri

    Very nice
  9. J

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    Umewasikia wapi wanalalamika kama sio uongo, mi natazama citizen daily sijaona hicho kitu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Thats very goof
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

    Wewe ndio uko shameless
Back
Top Bottom