Recent content by John Akonaay

  1. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Ahsante wajumbe wa mkutano mkuu maalum CHADEMA jimbo la Mbulu vijijini mmempata mtu sahihi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Uchaguzi wa kura za maoni CHADEMA uliofanyika tarehe 20/7/2015 katika jimbo jipya la Uchaguzi Mbulu vijijini Michael Aweda 163 Amani Geeri. 120
  3. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Ni kura ya maoni ndani ya CHADEMA iliyofanyika Jana ktk jimbo jipya La Mbulu Vijijini 20/7/2015 MICHAEL AWEDA 163 AMANI G. 120 sasa tunasubiri uamuzi wa kamati kuuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natangaza kugombea ubunge jimbo la KARATU...

    Hili ni jukwaa la wote,,acha kujitoa ufahamu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natangaza kugombea ubunge jimbo la KARATU...

    Ubunge siyo mjumbe wa nyumba kumi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Naunga mkono hoja
  7. J

    JamiiForums Tanzania Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    Kama anakiua CHADEMA si ufurahi sasa,,povu la nini
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kijijini kwa Dr. Slaa Karatu: Walimu waikimbia shule ya msingi kwa mazingira magumu

    Dr.Slaa nyumbani kwake kwa sasa ni kijiji cha ayalabe iko kaskazini mwa mji wa karatu pia yuko kwenye kata inayoongozwa na diwani wa chadema ndg Massay ambae pia ni mwenyekiti wa halmashauri ya KARATU. hiyo shule iliyoonyeshwa iko mbali sana iko mpakani mwa wilaya karatu na shinyanga iko
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na CHADEMA!

    Kiraghai,,,ndo nini
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Mnaotoa maoni humu na nyie jaribu kwenda Field,,mkajaribu na nyie kwenda kutoa elimu ya uraia Siyo mnalaumu tu kila siku Mbowe au Slaa
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    We anzisha chama chako ambayo hutafukuza mwanachama,,,acha kulalama
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    ni kweli Mbowe ameshindwa Tunaomba wewe uwe mwenyekiti
  13. J

    JamiiForums Tanzania John Mrema aumbuliwa Shinyanga

    Uwongo mtupu!!!!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Nimeacha Shughuli nyingine zote nimekaa nasubiri hapa kwenye mtandao press comfres ya ZZK
  15. J

    JamiiForums Tanzania Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Umenifurahisha Ha ha haaaaaaaaaaa Shame on Lemutuz
Back
Top Bottom