Recent content by john achila mukumwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi

    Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili. Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa mfano, tunaposema mtu amepooza mkono, maana yake ni kwamba anao mkono lakini hana uwezo wa kufanya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi? Kama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu.

    Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu. Unaweza kupokea Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono au la. Mambo haya yamekuwa yakiongelewa na baadhi ya watu, bila majibu sahihi. Hebu tuyaangalie kwa mujibu wa maandiko. Matendo ya mitume 8, yanasema: 14 “na Mitume waliokuwako Yerusalemu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Biblia inavyosema kuhusu kiburi

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani

    Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani? Hebu tusome Yakobo 5: 17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21. Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi. Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni. Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili

    Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”. Bwana alikataza watu kuchanjwa chale kwa sababu chale zote zinahusiana na ibada...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kwa Mkristo kucheza gemu

    Siyo sahihi kwa Mkristo kucheza gemu Kucheza gemu kwenye komputa au simu ni sahihi? Mfano gemu ya mpira, vita, kupigana, karata, magari, pool-table, na mengineyo, je ni dhambi? Kabla ya kujibu swali hili, ni muhimu kwanza kujua michezo hiyo kama ni sahihi kuishiriki au la. Kwa mkristo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?

    Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa? Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16). Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana. Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto? Ukisoma kitabu cha Mwanzo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida kushika mimba, huwa kuna uwezekano wa kuyatoa mayai yake kutoka kwenye uzazi na kuyaweka kwenye kifaa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi

    Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina?

    Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina? Biblia inatuambia kuhusu kazi aliyopewa Nuhu, ya kuviingiza katika Safina, viumbe virukavyo, vya kiume na vya kike kwa jinsi yake, na kila namna ya wanyama wa kiume na wa kike kwa jinsi yake. Kitabu cha Mwanzo 7: 2 “Katika...
Back
Top Bottom