Recent content by johbizzy

  1. johbizzy

    Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

    Asante boss na je unaweza vunja mkataba Kama unaona Mambo magumu
  2. johbizzy

    Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

    Boss hiyo milioni kwa mwenzi au kwa mwaka mzima unapo tumia leseni yake
  3. johbizzy

    Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

    Wakuu habari za mida? Mzee wangu anataka kufungua pharmacy tulikuwa tuna omba kujua utaribu wa kufungua pharmacy ! Pia gharama za kumlipa pharmasia kwa mwezi kwajili ya kuweka leseni yake dukani my no 0719656063
  4. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Asante Sana kaka
  5. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Njoo inbox ndugu
  6. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Asante Sana kaka kuhusu gharama za chakula ,maladhi, bima ni juu ya muajiri wangu mkuu ndio nasubiri mkataba nisome vizuri then nichukue mamuzi ila mpaka Sasa Kaka nadaiwa na bank More than 7 million
  7. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Kaka udereva ndio mchongo nilio pata kwa Sasa lakini by profession Mimi ni IT mkuu
  8. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Kazi uhahika nasiweI enda mpka nisome mkataba nielewe ikiwezekana niende na mwanasheria wangu kaka tusome wote mkataba
  9. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Kaka ndio nasubiri soon Nita kuja na mresho Kaka
  10. johbizzy

    Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

    Wakuu poleni na majukumu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, nimepambana sana bongo nikafanikiwa kujenga kibanda na kununua gari ndogo Mambo yalikuwa vizuri lakini baada ya Samia kuingia madarakani ndipo Mambo yalipoanza kuharibika. Nilivunjiwa vibanda vyangu vya tigo pesa, m pesa, yaani...
Back
Top Bottom