Recent content by johanessmelita

  1. johanessmelita

    JamiiForums Tanzania Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

    Nahis kampen zikianza hatakuwa hana mtu
  2. johanessmelita

    JamiiForums Tanzania matokeo kura za maoni katika nafasi ubunge( chadema)

    Sasa wew unauliza matokeo au unatupa matokeo? Jifunzen kuandika heading bwana
  3. johanessmelita

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

    Diamond usiloe sifa na kuanza kuongea maneno machafu jua safar ndefu bado ujue mapambano bado yanaendelea
  4. johanessmelita

    JamiiForums Tanzania Mbowe 'awekewa kisu' shingoni na Lowassa

    Uebu anayejua kinacho endelea atujuze acheni propaganda ambazo hazina maana. Nikwel lowasa leo ndo anaongea na waandishi wa habar?
  5. johanessmelita

    JamiiForums Tanzania Degree ya Zembwela

    Mnafikiri degree ni kuongea au? Na alisomea wap tusisikie na wakati wote kwanin haijawai kusemwa kinacho fanya mseme kwa sasa ni kile kipind cha uswaz? Hata wew ukiwa na maneno mengi unaweza kukifanya
Back
Top Bottom