Inawezakuwa na Masharti ya Maisha na inaweza isiwe na hayo Mashart ya matumizi na kwenye Masharti hutokea sana kwa awale wanao Batua hizo Rupia na siyo kila unayioona kuwa ni rupia Basi Kuwa ni deal.sarafu za kudeal nazo zenye uhakika ni Fanfumark,Rupia Nyekundu ya simba wawili,Rupia ya Kitumbua...
Hahahaha watafutaji wasiojua wanachokitafuta huwa mara nyingi wananifurahisha sana.... Una deal na Mali ya Mjerumani Halafu unasema una soko?...vile vitu Haviuzwi bali wanaokusanya wanawapa waliokuwa navyo sadaka tu na ile siyo Biashara.
Ipo moja tu Mzee kenya hakuna kampuni wale wanatumia mpaka mawakili ambao ni matapeli tumzee nimepita huko,hiyo kuingiziwa pesa benk na kuzuiliwa issue ni kuwa hao walioingiza hela hawana vibali vya biashara hiyao ndani ya taifa nakusaidia kitu kwenye inbox yako
Ushauri tumia kampumi ya ndani yenye kibali wale watokao nje huwa hawalipi kodi maana wanakuja na tourist visa na siyo bussness na hapo kuna hatari ya kulipwa hela fake.
Na kama hawalipi kodi basi pesa ikiingia kwenyw account inazuiliwa na hawawezi kulipa kodi hawana vibali kufanya biashara...
shiad siyo Biashara shida hapo ni yeye kutokuwa na uelewa sahihi nakile alichoambiwa.
Red na Black ndiyo hupatikana sana lakini nyingine hazisemwi kwa kuwa ni isssue sana hata Kuipata na huwa dau lake lipo Juu zaidi.
Kuwepo ipo ila siyo rahisi kama wengi wafikiriavyo na ina kazi nyingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.