Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

Tatizo kuna watu wanacoment ila ukweli hawajawahi kufuatilia habari hizi. Mm niliwahi mufanya udalali wa madini kila mtu anasema hakuna hayo mambo zaidi ya utapeli. Ss unabaki unashangaa kama hata dhahabu na almasi vinavyoonekana hamuamini mtaaminije hbr ya hela za kinerumani? Maana nyie mnataka kuona mtu akisema mm nimefanikiwa ila sijui mnataka awatafute ndo aseme? Wanaojua zaidi ni wale waliofield kwenye hayo mambo.

Ni kweli wapo matapeli hlo siwezi kupinga,wapo wengi tu lkn haimaanishi fursa kuwa stori za kusadikika. Kwa ni fursa ipi haina matapeli?? Kama dhahbu na madini mengine nyie mashahidi hadi askari walifikishwa mahakamani issue wa wenye madini wa ulanga,akina papaa msofe mnajua wanachofanya lkn hadi leo biashra ya dhahabu ni kweli na halisi japo wapigaji wamejaa.

Twende kwenye hicho kilimo,hatuuziwi mbegu fake,mbolea fake nk nk?

Mm nafikiri kabla hujacomment ni vema ukaijua vzr issue yenyewe sio tu reference za story za kusimuliwa. Kama ni stori muwe mnasema mlisimuliwa stori kama kwenyw wasap tunavyisema SENT AS RECEIVED!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara ipo ,lakini inavikwazo vifuatavyo !

-Wanachonunua matajiri ni nguvu za kishirikina zilizo ndani yake sio sarafu tu.
-ukiipata usijue namna mpimaji anaiba ile nguvu anakwambia hamna kitu
-Kutokana na kuwa na matapeli wengi wanunuzi wanamasherti magumu wauzaji wana masharti magumu balaa hivyo wanunuzi wanaibiwa njian ,wauzaji wanaibiwa mzigo
-Nyingi kuna chama kiliundwa na waisraeli wameshazichimba sana mwaka jana na wanakibali hadi kwa mkulu
UACHANE NA HII BIASHARA SI KWA SABABU NI YA UONGO BALI UWEZEKANO WA KUFANIKIWA NI MDOGO KULIKO KUPIGWA NA RADI
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
 
Hahahaha watafutaji wasiojua wanachokitafuta huwa mara nyingi wananifurahisha sana.... Una deal na Mali ya Mjerumani Halafu unasema una soko?...vile vitu Haviuzwi bali wanaokusanya wanawapa waliokuwa navyo sadaka tu na ile siyo Biashara.
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
Hahaaa mtu anapigwa muda si mrefu,
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
Wewe ndo unavyo unataka mtu umshikishe baadae utakuja na Uzi kwa ID nyingine na useme unauza hizo vitu
 
Wewe ndo unavyo unataka mtu umshikishe baadae utakuja na Uzi kwa ID nyingine na useme unauza hizo vitu
Huo n wizi wa kipumbvu na tokea niwepo kwa shughul hizi sijawah kutana na utahira Kama huo uusemao kwahyo nikipost mm ndie ninaehitaj na nikapost tea mm ninavo hvo vitu ndo nakuwa napata NN labda... Hebu nifunde baba la MATAPELI nielewe
 
Back
Top Bottom