Recent content by Joh Daisy

  1. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania IGP atoe kauli kuhusu RPC wa Geita kutishwa na Msukuma

    Mbn mtoa mada haelewek
  2. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Wako poa sana mbona na mm Binafsi hata Hoja zao ndo ilkuwa concern yangu ya msingi. Alafu kitu Kingine mtu aloongea kiswahili kwa muda mrefu akiswitch ghafla lazima apate tabu sana kutokana na mazoea lakn wako poa sana
  3. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Thread nzuri sana nimejifunza kitu kipya
  4. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

    Harmonize anataisha
  5. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    Maana tokea jana kwangu nill
  6. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    Ebana vp nyie leo heslb inafunguka?
  7. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

    100% right
  8. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Tulia ww jenga hoja zilizo rational umaarufua wa tifah uwez useparate na baba yake maana ht huo umaarufu kaupata coz ya baba yake na anapoharibu baba lazima dogo aporomoke
  9. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Na ww kubal ni mfuasi wake....ila usisahau uzi ukija au ikibandikwa huki kwa great thinkers lazima tutoe viewz zeti reagardless of what so usitembelee saaana mawazo yangu toa yako kwann imaarufu wa dogo umeshuka au sema km haujashuka sema pia
  10. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Ndo malipo yake sasa hayo for sure anaturnish image yake mbele ya jamii maana sasa hv ilbid akimbizane na mastaa wa kimataifa sio kufanya mambo local
  11. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Huo ndo uhalisia D sifa zitampoteza me ni fani ake since way back bt cku hiz ht instagram naona ananichefua interview anaongea utumbo mtu anaekuja juu ni harmonize yuko humble diamond km more of muswahil cku hiz
  12. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Sifa zimemzid diamond he is no longer humble anatukana anapost vijembe kwa mashabik zake ht paspokuwa na umuhimu
  13. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kujiendekeza n urafi ulopitiliza anakula hd msos wa watoto
  14. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Ufichaji wa wajumbe kwenye mazungumzo na Barrick upande wa Tanzania kuna manufaa yoyote?

    was curious kujua nani na nani wanatuwakilisha ktk hiyo discussion
  15. Joh Daisy

    JamiiForums Tanzania Deni la ACACIA: Mdau mmoja wa kigeni kanena haya mtandaoni

    acha kushabikia propaganda za wazungu lazima walipe kodi tuwe wazelendo bila kujali mlengo wa vyama vyetu vya siasa#Tanzania kwanza
Back
Top Bottom