Recent content by Jofeya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    Mkuu kasomea ITA au IFM...kama n ITA kuna wazee wa TRA wana hela zao za kutosha..huwa wadada hawana ujanja..ila pole kwa majanga
  2. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Hongera Mama...ww n Mama Wa kuigwa
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    hujielewi ww...unaonyesha jinsi ambavyo hukulelewa vizuri na wazazi wako...wewe n wa kupuuzwa!
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    Nifah..mm si mtu Wa lumumba..bado kijana mdogo..ila lazima tuwe wakweli ili kuokoa chama.
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    Wanajamvi... Mimi ni mpenzi Wa chama cha chadema ila kinachoonekana kwa Sasa n kwamba timu ya campaign ya Lowassa ni akina Sumaye, Masha na wengine. Sasa najiulizaa wapi akina LISSU,MNYIKA,MBOWE?. Kiukweli hawa ndio walioleta hamasa katika chama, sasa Leo hawasikiki, hamuoni mnapoteza uhalisia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Sisi tunataka utendaji..hotuba ndefu ya nn?...kujenga hoja?? Umesikia ikulu kuna debates kule??? tunataka mtu anayeweza simamia mali za nchi ili kupunguza umaskini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serekali kwa nn mnawalipa mishahara duni wafanyakazi wa TRA?

    guys..saita khae
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serekali kwa nn mnawalipa mishahara duni wafanyakazi wa TRA?

    olesaidimu Toa hoja...una huna hoja WW ndio waweza kuwa na kichaa
  9. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Chanel zp wataonyesha live?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

    Ndani ya mbeya sauti ya magufuli imekataa kutoka kabisa..hii n wk ya kwanza tu..
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serekali kwa nn mnawalipa mishahara duni wafanyakazi wa TRA?

    Mishahara duni yaani midogo sana...ww hujui ugumu wa kukusanya kodi..wale jamaa wa tra wanasumbuana sana na wafanyabiashara..nadhan unajua hakuna mtu anayependa kulipa kodi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    Mkuu hiyo shahada ya ukaguzi(auditor)umesoma wapi maana bado tz hawajatoa hiyo coz!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serekali kwa nn mnawalipa mishahara duni wafanyakazi wa TRA?

    Serekali.. Ni kwann mnawalipa malipo duni hv wafanyakazi wa TRA yaan mwezi huu wa saba karibu sector zote zimeongezewa mishahara lakin TRA hawajaongeza mishahara.Mnajua wazi kazi ya kukusanya kodi n ngumu na ina vishawishi lakin hampandishi mishahara! Tunaomba muiangalie hii authority kwenye...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kijana namaanisha kibaka
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Ok nimewapata.
Back
Top Bottom