Recent content by joey kooley

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Tumesomsa enzi ya CCM ya Nyerere. Hii sio ile! Hiki ni chama cha familia chache za escrow na epa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Too sad! Jmosi tumetukawa wapumbavu poa tuu. Makapi mara oil chafu! Poa tuu! EL kupanda daladala pia nogwa et mikusanyiko kama hiyo haramu. Poa tuu!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wakimbizi kuelekea Ulaya

    wanavuna dhambi zao.
  4. J

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Sasa huu ni ufunguzi wa kampeni au jumuiko la vijana na muziki wao? wazee kupoteza muda kushangilia diamond yamoto band? Sera je? Ahadi zote JK alizimaliza ndio sababu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Sijatoa tamko lolote, Sitokuwepo Jangwani Kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Dr. Slaa misimamo ya kihafidhina kiasi hicho haitusaidii kushinda uchaguzi. Kinachohitajika ni ushindi dhidi ya adui yetu magamba. Dr. Slaa soma alama za nyakati mafuriko yatakupitia pembeni.!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata?

    :thumbup:
  7. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamepoteza dira

    Stupidity of the highest magnitude! Miaka 54 mbali na kua na ilani hamjui sababu za umaskini uliokithiri. Ilani sio chakula!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba kuongea na Wanahabari Jumapili Serena Hotel

    Aongee asiongee what is the difference?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba kuongea na Wanahabari Jumapili Serena Hotel

    Aongee asiongee what is the is the difference?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Tatizo ni nini? Huyu mtu katoka CCM kimya kama kawaida yake bila kujibu mashambulizi. Kea nini nyie watu msielekeze nguvu zenu kunasdi sera za chama chenu? Midahalo itakuepo itumieni kumuuliza yote mnayomtuhumu. Tuache majungu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Mbona tunaizomea timu yetu ya taifa inapotuboa? Zomeenj tuu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa funguka kila kitu kuhusu Richmond, CCM wanapanga kukuanika

    Anaejua kujieleza kwa mipasho ya taarabu kasfanya nini cha ajabu? Sokoine alikuwa mkwere? wamasai ni askari sio waimba mipasho na eacheza segere.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa funguka kila kitu kuhusu Richmond, CCM wanapanga kukuanika

    Good thoughts. Nakubali kuwa ENL should concentrate on important public issues mipasho is for the likes of kibajaji and coy.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Nakubaliana nawe asilimia mia moja! Muda wa mabadiliko ukifika hakuna binadamu aliye chini ya jua atazuia. Si Magufuli wa malaika atazuia! Ni kama Oxygen ukiikosa uhai unatoweka.
  15. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    25 October asubuhi mapema peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!! Udiwani ubunge urais iwe siku ya uhuru aeau ya pili.
Back
Top Bottom