Recent content by JOESKY

  1. JOESKY

    Sarakasi za Mwigulu; leo yupo Arusha kukagua “uharibifu”

    Kwani akienda Kwanii akienda kutembelea mochwari na kuona miili ya vijana wa kitanganyika waliokufa ndio atawafufua au nini kitaendelea cha maana? Kwa kifupi watanzania tushakuwa wajinga wajinga ndio mssns viongozi wanatuendesha sana.
  2. JOESKY

    Masache Kasaka, Hafai Kuendelea Kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mkoa wa Mbeya

    Tatizo la chunya ina watu hawana shule kichwani yaani vijana wengi wa chunya shule hamna.
  3. JOESKY

    Wenye akili waliobaki Tanzania ni wasiyojihusisha na siasa au dini

    Una elimu ya level gani mwandishi?
  4. JOESKY

    Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!

    Polepole ni mnafiki na sio wa kuaminika. Haya yanayoendelea sasa ni zao la awamu ya tano chini ya Rais Magufuli ambapo polepole alikuwa kiongozi wa ngazi za juu huko ccm na sometimes walitoa maamuzi yao kama viongozi pasi na kushirikisha wanachama wa ccm. Haya anayoyasema leo polepole yeye...
  5. JOESKY

    PreGE2025 Alichokifanya Gwajima ni “Insubordination” kwa mwenyekiti wake wa chama. CCM imuite na kumhoji azungumze uhalisia

    Kosa la Gwajima ni kusimama kukemea utekaji na mauaji yanayoendelea Tanzania?
  6. JOESKY

    PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

    Nchi hii ina wajinga wengi sana. Na ndio kikwazo cha mabadiliko.
  7. JOESKY

    Alx software engineering programme

    juzi tu wametoa fursa aisee na tayari wameshachukua watu kozi inaanza tarehe 17
  8. JOESKY

    Alx software engineering programme

    mkuu vipi bado ujapata fursa ya ALX?
  9. JOESKY

    Alx software engineering programme

    [emoji16][emoji16]
  10. JOESKY

    Alx software engineering programme

    Bila kusahau kwamba program inahita waty ambao wako commited 100% na pia uwe tayari kufanya vitu vigumu DO HARD THINGS kama slogan yao inavyosema
  11. JOESKY

    Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

    Post yako ni futile kabisa, uwezi kufanya reference za wilaya zingine kwa kumpa masifa yasiyo yake Tulia.
  12. JOESKY

    Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

    kwa hiyo wilaya zote hizo ulizo zitaja mbunge ni tulia ackson au
  13. JOESKY

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee mikeka inachanika hatari kila siku vilio[emoji16][emoji16][emoji16] nmeshtuka hata hizi predicting sites watakuwa wanalambishwa asali
Back
Top Bottom