Ni kwamba mwili wa lowassa umejaa maswali ya wizi kila mahali ukimtizama tu. Sijui ushahidi ni upi unaotafuta wewe. La sivyo nawe ni mwizi usiyejua kuwa mwizi kama lowassa.
Hivi Pinda kweli ni mtatuzi mzuri wa migogoro au ndo anaenda kuongeza chunvi kidondani!
Hivi pinda ni timamu kweli?????
Amefanya na ameamua mengi yanayofanana na maswali hapo juu.
Jamani msishangae hao ndio CCM Bana, Yupo mbunge mwingine Shinyanga jimbo la KISHAPU (MWARABU-SULEIMAN NCHAMBI) siku hizi anatembea pikipiki ndani ya lori ana-andaa mikutano na kuonyesha zile pikipiki kuwa amewaletea za kupambana na umasikini kisha anahama nazo kwenda kuonyesha ktkt mkutano...
big up mkuu fikirikwanza, jk ashughulike na watu wake, rwanda wanachofanya japo hakina uhakika lakini ni kwa maisha bora ya nchi yao. Bwana misifa yeye hajui afanye nini kwa faida ya wananchi wake!!!!!!!!!!!!!!
Huyu MJINGA ameshasahau kauli yake, mara tu alipozawadiwa u-naibu waziri alitangaza kuwa atahakikisha gharama za mawasiliano zinapungua kwa kiasi kikubwa!!!!!????
Lea anakuja na NENO TU eti tusimlaumu ila tulaumu wabunge wetu???!!!
Yawezekana kabisa ni wanaume wengi duinani wanopigwa na wake zao, lakini sasa mwenzetu huyu ni tofauti kabisa kwa sasabu yeye akipigwa kidogo tu analia saaaaana!!!
1.) Mgomo wa walimu ni sawa na wasirudi nyuma,2.) Kuhusu mafao:Falsafa nzima ya mzunguko wa maisha inasema hivi: JANA NI HISTORIA, KESHO NI MAJALIWA, LEO NI ZAWADI. Sasa iweje mtu uishi kwa kutegemea KESHO? ili hali maisha ni sasa(leo),? je nani kaiona KESHO?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.