Recent content by joeljr

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua toyota ist

    Utaletewa kanyaboya wewe uanze tena kutulilia
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

    kwa hiyo wasiokuwa na simu wao hawachepuki? Na kama wanachepuka unawagunduaje
  3. J

    JamiiForums Tanzania Toyota Noah for sale, 9.5 Millions

    Naona imerudishiwa rangi mkuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kodi za nyumba Dar zinapanda kwa spidi ya hatari (maisha yanatisha)

    Watu wa kipato cha chini na kati wengi wao wanataabika tu dar tunawaona wakija huku mnakokuita mikoani mosi vilio ndio vinavyowaleta wengi wao na wakati wa kurudi huko dar hadi nauli tunawachangia .
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu amenitaka kimapenzi

    Au hata amwambie kuwa ana ngoma
  6. J

    JamiiForums Tanzania tecno h6 china 130000

    Hii simu ni kama niliyoibiwa majuzi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan wangu anauza milion 6

    Hiyo kama sikosei ni ESTIMA LUCIDA huyu mtoa tangazo inaonekana ni dalali kapewa tenda
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mwanza

    labda magu si unafahamu huko pia ni ndani ya mwanza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mwanza

    Kila lakheri mr Mchoropo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mwanza

    Hata kama mtu anauguliwa kwa bei hiyo na masharti yako ni sawa na kusubiri meli airport
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan wangu anauza milion 6

    Hii ni mateso bila chuki kwanza spare zake utazipata wapi?
Back
Top Bottom