Sasa hawa jamaaa wanchekesha. Ni juzi tuu tumeona watoto wa shule za sekondari ndio wamejaa pale mashujaa. Sasa unataka kutuambia nini? Hao ni above 18? Jiandaeni kisaikolojia kuachia nchi kwa amani.
Ccccmm ndio wanaroho na ving'ang'anizi wa madaraka. Miaka hamsini na nne bado wanawadanganya wananchi kwa ahadi hewa kisa wasalie madaraka. Amka, shituka kisha toroka uje. Enl rais ajae wa jmt.
hapo chama dola kimekomeshwa sasa tutaona hizo kula za kwenye ma hotpot zitaingiaje kwenye masanduku. maana pale kwa mkurugeziniii huwa wanazima umeme kisha wanaingiza hizo kura za kwenye hotpot.
humu ndani watu wanafikiri kwakutumia nanihii!! hivi nani hakumsikia MZEE KINGUNGE alichonena jana? Nyie team fisiem hebu fungueni hizo bongo zenu. huyu mzee anaunga mkono mabadiliko. tena kasema yamechelewa. sasa mnapiga kelele wee! au ndio dalili za kifo cha mende kupiga miguu akiwa amelala chali?
hiyo barua ilikua inaelekezwa wapi? maana hata haioneshi nani anatakiwa kuisoma. kweli umepungukiwa uwezo wa kugushi. kwanini hamtaki kuamini kua watanzania wanataka mabadilikooo?
nadhani Dr. hajatutendea haki watanzania. sasa anataka tuendelee kuwawek CCM madarakani ili mama zetu waendelee kuzalia sakafuni katika hospital zilizofurika huku serikali ikitumia kiasi kikubwa kununua magari ya kifahari na kulipana posho lukuki? hapo simuungi mkono hata kidogo. MIMI...
Toka asubuhi hadi mchana huu Mji wa Tanga na viunga vyake hauna umeme wa Maji. Haya ndio maisha bora tuliyo ahidiwa na serikali yetu ya chama cha mapinduzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.