Hapana, gharama za a'level ni ndogo mno kuliko diploma chuoni, ni vema cc wenye uwezo mdg kiuchumi 2kaze buti ili 2qualify kwenda a'level kisha degree. Hii ita2fanya 2we serious na elimu kuliko kulegealegea halafu 2narnda diploma. Safi sana mh. Ndalichako
Mkuu, bila shaka unatambua kuwa nchi ye2 ina uhaba wa walimu. Huoni kwmba ni vema watu hao wakawezeshwa zaidi ili kutatua janga hili nchini??? Lakn pia huna haja ya kulalamka sana coz hata wale waliosomea ualimu, wengi wao hawakufaulu vema form 4 na 6, lakn asilimia kubwa ya hao...
Hebu tafakari upya mawazo yko, yaonekana kuwa bdo hujajua tofauti kati ya elimu bure na elimu kutolewa kwa mkopo, suala hili halijali hali ya kiuchumi wa nchi huska. Lakn pia nchi hii bdo inahtaji wasomi kwani nchi yny wasomi wengi hupata maendeleo makubwa kuliko yny wasomi wachache. Usikubali...
Nenda karipoti polisi then uende NECTA offices,utahojiwa then utatakiwa kutangaza kupitia magazeti kisha upeleke nakala ya gazeti hilo lenye tangazo lako necta then utapewa utaratibu mwngne but u will never be given another original certificate
Kujiajiri kwa degree ya uhasibu ni ngumu xana kwa sasa b'coz of technology advancements but unaweza kujiajiri kwa kufanya kazi nyngne coz kujiajiri co lazma ujiajiri kwa kile ulichosomea ndio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.