Recent content by Jodeo

  1. Jodeo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

    Ndo mtueleze kwa nini mnakubali kuwa michepuko
  2. Jodeo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    Hao watu kwanini wasitusaidie kuangusha minara ya simu[emoji23]. Maana siyo kwa utapeli huu na wizi wanaotufanyia. Siyo voda, tigo, airtel, halotel wote wanajichukulia tu pesa zetu.
  3. Jodeo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    Na nyinyi wenyewe acheni kuibia watu, nguzo zinatoka hapo mafinga zinauzwa kwa bei yote hiyo? Na bado zikinunuliwa zinabaki kuwa Mali ya Shirika?! Bila rushwa kuunganishiwa umeme ni muujiza! Acha na nyinyi muhujumiwe mjue uchungu wake.
  4. Jodeo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Kuna uwezekano pia hiyo mimba si ya jamaa
  5. Jodeo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Wanawake ni pretenders wa standard gauge. Kuwajua ni kazi nzito. Tunasema kila siku...acheni kujihusisha na single mothers
  6. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya visasi

    Mwanzo 6:2 "wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua." Wana wa Mungu = Malaika(Hao waasi)
  7. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya visasi

    Aise! Kuna Bible version ya shetani ishatoka ama?
  8. Jodeo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Ni bora wasiseme no wakiwa single,,lakini upo na mwanaume ndani..jamii yote inajuwa huyu ni mke wa fulani..mnapika mnapakua. Then unatongozwa unadanganya hujaolewa?!
  9. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania zijifunze Mahakama za Kenya

    Tanzania ina wenyewe, kama si mmoja wao watakuoneshaji mambo yasiyokuhusu!
  10. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Ni Tanzania tu ndo inaotea mbali father, siyo USA.
  11. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuandika Wosia kama Mahakama inaubatilisha

    Christ= English,, Christus= Latin
  12. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    My friend, wadada/wanawake hata waliojiriwa wanafanya ukahaba na umalaya kuliko. Sidhani kama tatizo ni ugumu wa maisha
  13. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Padri wa Kanisa Katoliki aliyefukuzwa afunguka

    Nilitaka kwenda kwenye upadre 10Years ago baada ya kutoka chuo kikuu. Hata hivyo maombi yangu hayakujibiwa kwa zaidi ya mwaka mzima. Leo sijutii kutoenda huko..maana ningekuwa miongoni mwa mapadre wa hovyo ama wangenifukuza kwa kupinga waziwazi tabia mbaya zinazoendelea huko. Niliwahi kwenye...
  14. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

    "Mimi na yeye ni kitu kimoja"
  15. Jodeo

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    Na ieleweke Mali zote ni za Mtanzania.
Back
Top Bottom