Recent content by jochu

  1. J

    Naomba kujuzwa changamoto za gari ya Toyota Alphard na aina zake

    kwa hapo angalia moyo wako unapenda nn, kuhusiana na mafuta eti kisa ununue ist au raum utajitesa crown athlete inatembea km 7-10km/l mjini ist mjini km10/l kwahyo inapishana kidogo tu. Na kuogopa kumiliki gari zuri kisa mafuta huo ni ujinga kwa maana hakuna gari isiyo kula mafuta kikubwa uwe na...
  2. J

    Gharama ya mafuta ni kubwa sana

    kutishana tu, wakat cjanunua athlete dah watu walikua wananitisha sana yan nikaona isiwe tabu nikazama benk nikachukua m 12 zangu kwa miaka 3 na miez 6, nikaingia mwanza nikadaka mnyama crown athlete namba DQ saaafi kabisa, sasa iv ninachokifanya siku nina ela ya mafuta naendesha siku sina...
  3. J

    Ukiwa na Gari hapa dar hakuna sehemu utaiona Mbali

    Shida sio kumiliki gari, shida inaanzia mtu kumiliki gari ambalo haliwez kulihudumia. Tuchukulie paso ingine ya 1kr cc 990, mtu atakae shindwa kulihudumia hili gari bac tena hata pikpik hatoiweza achukue baiskeli. Sasa utakuta mtu anajitwisha gari za engene kubwa alaf uchumi mdogo, service tu...
  4. J

    Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Naomba kwa wale walio wahi soma horticulture sua, wanipe uzoef natarajia nikapige hiyo kozi mwaka huu
  5. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Asante kwa mrejesho. Kuna watu wana magar ya kuazima nao wanajiona wanamiliki
  6. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Inawezekana kwasabab ukiwa na nidham mbaya kweny driving hata ist utapata 8km/l kama brevis bt ukiendesha vzr itakupa matokeo mazur kweny mafuta
  7. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Kwanza uzima wa gari, gari ni nzima!? Mimi yangu ni nzima kabisa haijawah kuchokonilewa engene pili balance rpm isizid 2. Fanya service kwa wakat weka mafuta ya kutodha walau nusu tank, utanishukuru
  8. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Ndo hapo sasa elf 20 kweny ist ni lita 6 ambayo ni zaid ya km 60+ mpaka yaishe
  9. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Mimi nina mshahara huo na nina milik crown japo kuna deals zingine za apa na pale, kwa ist hyo anamiliki bila tabu yeyote. Kama hana source nyingine ya pesa atafute gari ya engene 1500cc kushuka itamfaa
  10. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Hyo ni fact nyingine na ndio maana nilisema high way kwa tz unapata 18km/l. Ndan ya mji kuna trefik na stip za apa na pale unapata 10-13 kwa lita ukiwa na ist 2nz
  11. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Hii ni kwa ist hii ya beforward ina cc 1290, na inatumia 23km/l ndio maana nasema ist kwa bongo inafika km 18/l ila tu iwe nzima na uendeshe kwa nidham nadhan nimeeleweka . Huna gari na hujawah kumilik kaa kimya mimi nilitushwa sana kuhusu crown kumbe uhalisia hauko hivyo
  12. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Yan gar ukiiendesha bila displine hakuna gar itakua rafik kwako. Ww muda wooote mbio huiach ichanganye yenyew hata passo tu utaita jini. Nina rafik yangu yeye paso ilikua inatembea km23/l cc 990
  13. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Kuna mijitu humu jf sio ya kuisikiliza gari haijawah kumiliki, diving skills ni mbov alaf anasema gar inakula mafuta. Ist ya 1290 ukibalanc rpm isivuke 1.8 bac unaitapa hyo 18 tena high way. Hii apa ya crown yangu napata 13/l engene 2500 nayosemaga jini
  14. J

    Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Jinga ww hujawah kumiliki unagongea gali thn unaguja kutoa maada za ku google. Ist uki google kwa cc 1290 inaenda km 23 kwa lita. Utokana na uchakav ukiendesha vzr bongo na ukapata ist iliyo vzr unapata 18 kwa lita high way mjin 14 nilikua napata. Sasaiv nipo na mnyama crown napiga mpaka km 13...
Back
Top Bottom