Recent content by Joao de Matos

 1. Joao de Matos

  Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

  Natumaini MUNGU kashatenda mkuu
 2. Joao de Matos

  Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

  Wenzio washafikilia hayo.
 3. Joao de Matos

  Ujenzi wa kiafrika

  Waafrica tunajenga eneo ya kujihifazi tuu, na ndo wengi wanafanaya hivyo.
 4. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Usikimbie njoo huku, Ninavyojua Serikali ya Bongo land hawajafanya juhudi zozote zile za kuzuia mimba mashuleni. Sasa Kama mnajua kuwa kwa mwaka zaidi ya mabinti 6500 wanapata ujauzito shuleni, je hao wanaume 6500 mnawafunga wote? Jibu na Hilo usikimbie. Kama kweli mnafuatilia.
 5. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Jibu swali mkuu.🤣🤣🤣🤣😂😂
 6. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Kama Kuna watu wanafanya hivyo kwa Nini yeye hazuiii.
 7. Joao de Matos

  Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

  Serikali wengewe hawafanyi jitihada zozote zile za kuzuia watoto kupata ujauzito.
Top Bottom