Recent content by Joannes2000

  1. J

    Nitarudishaje "Uanaume" wangu?

    The Dark, Ushauri wangu upo hivi. Hisia zozote zinaendeshwa na ubongo. Ubongo uruhusu kila kitu kiweze kufanyika kwa wakati na muda sahihi. Tatizo lako lipo kwenye brain centre ambao brain have already learnt on wat you should do wen having sexual desire. Hivyo basi cha kufanya unaweza kukutana...
  2. J

    Maajabu ya UKIMWI: Mume anao, mke na watoto hawana

    HIV has its specific antibodies thats why mtu akipimwa iwapo kuna rxn ya hizo antibodies specifies the presence of HIV. Mfano a pregent woman anapochukua kit UPT na kuweka mkojo the same thing inatokea under hormonal infuences specific. So diseases aidha ni due to bacteria, virus or fungal...
  3. J

    Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Siwezi kukulaumu kwa usichokijua. Kila mtu anafanya kazi yake kwa akili ya hali ya juu ili maisha ya mwenzake au ndugu yazid kuimarika. Kazi yetu ni ya weledi wa hali ya juu, iwapo unaona tunatua akili ndogo [emoji23][emoji23][emoji23] ukija tutakutibu kwa hali ya juu ili usipoteze maisha...
  4. J

    Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Udaktari sio wito ni huduma kama huduma nyingine. Wito wake unakuja kwenye maamuzi tunayochukua kuokoa maisha bila kuangalia nan anapata msaada. Ila haki kupata mshahara unaoendana na kazi tunazofanya
  5. J

    Sometimes Jamii Forums Siielewi (Bugs)

    [emoji57] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom