Recent content by Joan lewis

  1. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Kiki kama za dudu baya, ndio zilimponza mwenzie paul Basht akakosa u Vice P. Baada ya kuwekewa sanctions kwenda huko Duniani. Ndio mana mnaona this turn amevaa tint kama haoni ingawa ni sekta yake. Na wakati ule alikuwa just RC wa Dar. Fikirini mara mbili. Dudu yeye ni Loose woofer hana cha...
  2. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Ninavyojua Mungu ni Haki. Kama kitu umefanyiwa bila hiyo Free will unayosema hata ungemwagiwa tani na tani za uchafu haziwezi kukudhuru ila zile ulizojiandaa unaenda kuzifuata kwa jitihada na utashi wako. Hizo hata ukimwagiwa milllita 0.1 zinaweza kukuua ukafa ukazikwa. Upo hapo???
  3. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Huyu ametokea chini ya bahari kuja juu.. sio katoka nchi kavu ( duniani kwenda baharini katika bahari, kama walivyo baharia wa kawaida) mimi pia nimetizama hilo jina hapo awali nikajiuliza kwanini basi ajiite jina hili?? After all??
  4. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Leo ndio nimekaa napitia nashangaa na mimi hapa.
  5. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    Wakati huu shule zina waalimu mpaka wawili walimu haswa msingi hata sec wanafundisha masomo sita hata zaidi.. Je hizi ngonjera zote wana mpango gani kuongeza idadi ya waalimu? Bila kujali sana ikiwa wamefunzwa mambo ya kisasa maana mtu akifaulu ualimu ameiva katika kumshape mwanafunzi ndio...
  6. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Na ualimu ni Grade 111C
  7. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Za hotel na Utalii kwa ujumla.
  8. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Ziko api?
  9. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unayajuwa yanayopangwa gizani?

    Ukiona mtu Kila Leo anakushauri mambo mepesi mepesi ujue huyo ni ibilisi wako. Tokana nae kwa Akili. Mfano unamweleza Sina ada kulipia Binti shule yeye anakwambia mwoze... Wengine wako jikoni kupika kiki za ajabu ajabu na nyepesi. Fikiri akili hizo wanazo ila kutatua kero za wenyenchi hawana.
  10. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

    Jambo la Heri mkuu. Naamini huwezi kuwapuuza wanaohangaika kuwaona kama wazembe sivyo?
  11. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    Hata iyo biashara na Chochote atachofanya ataishia uraibuni kufuatia mazingira ya uadui na dhulma za Kila siku atazokutana nazo, kuanzia mamlaka, wateja jamii nk. Serikali yoyote Duniani isipojali watu wake haswa vijana hakuna mtu atawajali, ikiwemo jamii na ndugu zao. Kisha inafungua mlango wa...
  12. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Panya ana ajira, Kijana hana — na anasafiri kwa ndege!

    Inafikirisha sana sana
  13. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Asiache kuhifadhi sehemu ya kama atamgeuka ili asijiue.
  14. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Uhakika ni kuwa hali waliyonayo vijana ni mbaya mnoo. Baada ya kupigika kiuchumi na kimatumaini kitakachofuata ni kupigika afya ya akili

    Kila report yaTRA makusanyo yanavuka asilimiamia. Dr kikwete akiwa Mwenyekiti wa Jukwaa la elimu kachangisha Trillions na kupewa zaidi, Misaada ya EU na donnors wengine kwenye elimu haijawahi kukoma. haswa wakati wa mama. je shida Iko wapi kujaza Hilo pengo la walimu 176,000? Ambapo Mtaani...
Back
Top Bottom