SEHEMU 3:-
Karibu tena.
Sehemu ya 1 na ya 2 tuliangazia mahitaji 7 kati ya mahitaji yote 18 Muhimu ya Mwanamke ktk Mahusiano.Nayo yalikuwa ni.
(1)Amani ya Nafsi.
(2)Upendo wa Dhati.
(3)Tumaini/Hakikisho.
(4)Mawasiliano.
(5)Ushirikishwaji.
(6)Penzi.
(7)Kuelekezwa.
KUMBUKA:-
Mwanamke...
Lazima iwepo lkn si kama wengi tunavyodhani bali pesa ipo kupitia hitaji la Matunzo,Kujali na kumhudimia.
Ikiwa unaendesha mahusiano yako hada kwa kumlipa mwanamke pesa kila mara baada ya kukutana Kimwili ama hukutani naye hadi ulipie kwanza basi wazi kwamba huyo si mtu uliye na mipango naye...
Umeoa mfanya biashara?.
Kama ndivyo basi ni dhahiri kwamba Hapo hakuna tumaini la kuendelea kwenu.Hampo kwa ajili ya maisha.Na maana yake ni kwamba umejifunga wewe mwenyewe kulingana na vile ulimuingia mara ya kwanza.Km uliingia kwa kutumia pesa basi usishangae kwamba bila pesa hurambi...
SEHEMU YA 2.
Na Joachim Mkwawa
[emoji2398]Rejesha Mahusiano Yaliyovunjika.
Habari mpendwa;
Natumai umzima wa afya.
Karibu na uungane nami tena leo katika mada yetu na leo tupo sehemu ya 2.
Nikumbushie nilipoishia sehemu ya 1.
Utakumbuka nilisema kuwa Mwanamke anahitaji:-
(1)Amani ya Nafsi...
Yah nalijuwa hilo kwa sababu kimsingi mahitaji ya mwenzi wako ndiyo majukumu ama wajibu wako kwake.Hivyo hata mwanamke anapaswa kuyajuwa mahitaji ya mwanaume ili aingiapo katika mahusiano ya kimapenzi ama ndoa ajuwe fika kwamba kuna wajibu anaopaswa kuutimiza kwa mwanaume wake.Hivyo nitaweka
Ningeweza andika kifupi tu kwa kuyaorodhesha ukanielewa japo naamini usingenielewa kiundani namaanisha nini.Ndiyo maana kwa kila hitaji ama hatua nikalazimika kuitetea hoja kwa kuielezea.
Nakushukuru kushiriki usisite kuendelea utajifunza kitu.
Namzungumzia mwanamke aliye katika mahusiano/ndoa.Hao chotara naamini hata wewe unawajuwa kwamba hawanaga time na mambo ya mahusiano/ndoa.Pesa iko mbele.
Hvy hapa namtaja mwanamke anayeweza kuoleka ama aliyeoleka.
Na Joachim Mkwawa
[emoji2398]Rejesha Mahusiano Yaliyovunjika.
Habari yako ndugu na Mwanajamii mwenzangu.
Leo nataka uyajuwe,ujifunze na utimize wajibu wako kwa Mpenzi wako ama mwandani(mwanandoa)wako.Na kama nilivyotiririka hapo juu ni kwamba nitaangazia MAHITAJI 18 MUHIMU YA MWANAMKE KATIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.