Recent content by Jmturu

  1. Jmturu

    Sijachaguliwa ualimu, naomba ushauri

    kwani majina ya ualimu yalishatoka jmn...lini?
  2. Jmturu

    Ndege Iliyopotea ndio hii?

    mh unajua haujasoma head vizuri,me nimeona ? pale mwisho. sema hapa co jukwaa hucka
  3. Jmturu

    Blue Ivy Carter At The Grammys

    nimecheka mpk bac
  4. Jmturu

    Beyonce And Jay-z’s Performance At The Grammys ( photos)

    hako kachupi angevaa wema naamini humu ndani watu wangefunguka balaa,tena kidharau dharau zaidi,lkn lady b na pongezi anapewa. ona mumewe alivyovaa vizuri,wanawake tunapenda kujidharirisha wenyewe,ndo biashara gani sasa hiyo.
  5. Jmturu

    Karibu KCMUCo Moshi

    nimekupm ndugu,em cheki au nisaidie namba yako kwa msaada zaidi.
  6. Jmturu

    Karibu KCMUCo Moshi

    jaman uloandika post umepotea
  7. Jmturu

    Karibu KCMUCo Moshi

    ada kias gani
  8. Jmturu

    second selection wizara ya afya

    jamani wizara wameyaweka lakin mbona hayafunguki-au kwangu tu.
  9. Jmturu

    zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

    Sa jamani kwa nini mvae suluari bila pensi au chupi?
  10. Jmturu

    Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Malizia hapo na josephine john mturu mkuu.
  11. Jmturu

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Jamani na mimi nasumbuliwa na hili tatizo haswa kitumbo mpk fgr 8 yangu imepotea sasa. But to reduce it nimekua nikishinda na njaa na kula mr moja 2 kwa siku. Kinachonishinda n kwamba siwez kuacha kula chips mayai na ninakula karibia kila cku. Msaada plz,cjui km nitaweza kutatua tatzo.
  12. Jmturu

    Tukumbushane

    Song of lawino:my husband's tongue is bitter.
  13. Jmturu

    msaada matatizo ya ngozi kwa mtoto

    Aisee nakushukuru sn mimi49 kwa msaada wako. Tatizo limepungua kbs naamini tunakoelekea litakwisha kbs.mungu akubaliki sn.
  14. Jmturu

    msaada matatizo ya ngozi kwa mtoto

    habari wanajamvi,kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku pili hongera kwa kuzaliwa tanzania na kuongeza idadi ya waafrika. nikirudi ktk topic nduguzanguni nahitaj msaada wa ushauri ni nini cha kufanya kwa huyu mtoto anaeteseka tangu kuzaliwa kwa mwaka na miezi 7 sasa. ana tatizo la kutokwa...
  15. Jmturu

    Haya akina dada, kivazi hichoo!!

    mwanamke ubunifu:A S kiss:
Back
Top Bottom