Recent content by jmaye

  1. J

    Nilianza kuvutiwa kidogo na katiba hii, Mbona sasa CCM mmeniangusha?

    Mijitu mingine akili zao zipo matakoni mwao hayataki kuambiwa ukweli linakimbilia lisu mtoa post ameongea jambo jema ulitakiwa kujibu hoja sio lissu wwe hujitambui.
  2. J

    Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    Hayo ndo maisha bora kwa wtz aliyoyahido na bado tutamkumbuka sana mh ben mkapa leo hospt hakuna dawa yeye anapanga safari.
  3. J

    Kigogo wa madawa ya kulevya wa kike, akamatwa na madawa ya kulevya

    Namfahumu huyu dada ni jirani yetu kumbe usilolijua nisawa na usiku wa giza lkn kama anahusishwa ni mapema mno kusema wasubiri uchunguzi ukamilike ndo watoe hewani.
  4. J

    Kikwete kumsaliti Jaji Warioba ni sahihi? Visasi au ni udhaifu wa rais Kikwete?

    Kwa mtazamo wangu mtu yoyote anaempinga jaji warioba ana manufaa na serikali hii ya kifisadi kwa mtu makini anaejitambua hawezi kuunga mkono upumbavu na usenge unaoendeshwa na hawa manyonya damu kila mtu anahaki ya kutoa maoni yke juu ya katiba na hakuna sheria inayokataza jaji ataendelea...
  5. J

    CHADEMA wabwagwa na wafadhili wa nje

    Fukara wa fikra fukara wa mawazo umekaa pamoja na walioshika akili yko mmeona ngoja mje na uzushi wa kijinga nadhani umeongea kinyume chake walio nyimwa misaada kwa sababu ya ufisadi si unawajua ni ccm mbona unajikanyaga mtoto kabla hujatoa post soma inaonekana bado hujitambui.
  6. J

    CHADEMA under UKAWA Dodoma.

    Wameamka sio kama zamani hawadanganyiki tena.
  7. J

    UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

    Wwe na vilaza wenzio ndo mnaweza kuamini ujinga wko mimi binafsi nimechunguza nimeona wwe kwanza ni muongo kwenye pic umesema unaonekana umevaa koti la blue light anaeonekana ni warioba acha kutafuta umaarufu kwanjia ya ujanja ujanja.
  8. J

    Kitendo cha ITV kumpa Airtime Warioba ni Uchochezi au Ukombozi?

    Med tatizo lako ungeniambia mapema sikupanga kuja huko mapema pouwa kama umeondoka next time.
  9. J

    Kitendo cha ITV kumpa Airtime Warioba ni Uchochezi au Ukombozi?

    Huyu jamaa simuelewi anatoa swali anajijibu mwenyewe na yeye ni walewale wametunga wao wanajitekenya wanacheka wao wanajifunga wanashangilia.kuhusu ITV kumpa airtime jaji sio kazi yko itv ni ya mtu binafsi kama inalipwa au inapa chance jaji imempa kwa haki na sio upendeleo kama inakuuma...
  10. J

    Viongozi TPDC watiwa mbaroni kwa kuinyima PAC mikataba ya gesi tangu 2012

    Na mikataba iliyosainiwa china ipitiwe yote isiwe danganya toto.
  11. J

    Kongamano la kesho kuhujumiwa na wanafunzi waliohongwa na CCM

    Ulisema kweli na yametimia.
  12. J

    Huyu ndiye aliwakodi wafanya fujo kwenye mdahalo wa leo

    Tusahau kesi ya nyani hakimu ngedere uliona wapi ndg yangu.
  13. J

    Vurugu za Ubungo Plaza kwenye Magazeti Leo

    Ukweli unawauma sana kwani yaliyotokea ni udaku tofauti kati ya udaku na ukweli mnaelewa?issue siyo gazeti ni habari niya kweli au uongo.umaskini wa mawazo ni tatizo kwako una mawazo mgando kama chama chako cha mafisadi now tumeshawajua na hatutarudi nyuma mpaka kieleweke buku 7 sio maisha ya...
  14. J

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Acha akili za kitoto nadhani kama ulisikiliza tangia mwanzo mzee butiku alisema pale wanaongea kama wananchi tume ilishafutwa hatuna tume umekalia ushabiki na hujitambui utaendelea kuwa msukule mpaka kufa kwako.
  15. J

    Hivi taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoendeshwa na butiku na warioba huwa inalipa kodi

    Mbona hujauliza ccm mabillion eanayotumia kuhonga wanayatoa wapi wwe fara kweli kamuulize mama au baba yko pesa ya kukuwezesha kufuta ujinga walipata wpi utapa jibu la swali lako.
Back
Top Bottom