Recent content by JM K

  1. JM K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa hili tangazo la AirTanzania nauli ya kwenda China

    Wamekosea sio kawaida
  2. JM K

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka na harakati za Mtwara. Huyu kijana ni nani?

    Ni mtu flan smart tuu hana maneno Ruwamangi wa kiwoso
  3. JM K

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka na harakati za Mtwara. Huyu kijana ni nani?

    Sahihi kabisa umeeleza vyema
  4. JM K

    JamiiForums Tanzania Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

    Nilichoka jamaa wa kwenye movie anasema i work for mossad huyu anaetafsiri akasema mossad alikuwa kiongozi wa Israel zamani
  5. JM K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Maana halisi ya great thinker [emoji119][emoji119]
  6. JM K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Ulikopita wewe hayo ndio majibu yako, hakuna wa kupendwa 95% nchi hii
  7. JM K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Hahaha Geita ya wap tena sitokei kanda hizo mimi
  8. JM K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Hapa kitakachoendelea ni kutukanana tuu, kifupi Magu alikuwa 50/50 kati ya kupendwa na kuchukiwa... Alifanya makubwa kwa Africa yetu hii yenye vichwa ngumu Lakini kwa baadhi ya watu walichofanywa only GOD knows, wazee wetu wa kichagga wahawakuamini kama jamaa ameenda kweli.
  9. JM K

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Labda uko sahihi manake mengine ni mambo binafsi wengine hatujui ila kama anachojadili ni facts na ni ishu za kitaifa sio shida ...
  10. JM K

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Usalama wa Taifa zina nguvu kiasi gani?

    Mossad ni habari nyingine, ukisoma habari zao na operations walizofanikiwa ndio utaelewa binadamu wote ni sawa ni msemo tuu usiweke akilini
  11. JM K

    JamiiForums Tanzania Baridi la Makete

    Mjomba huko wanaishi na mabarafu 24/7 na bado ukicheki mji una maendeleo lakini sisi hali ya hewa nzuri throughout ila bila bila
  12. JM K

    JamiiForums Tanzania Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Nakuunga mkono lakini ujue hatujawahi kukodi viongozi kutoka nje maana yake wanawakilisha jinsi waafrika tulivyo, Watu weusi kuanzia Sub-Sahara mpaka south nenda nchibza Caribbean kote watu weusi maisha yetu ni shida! kuna kitu hatuko sawa kwa kweli... refer maneno ya P.W Botha kiongozi wa...
  13. JM K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata viza ya Mexico

    Hao jamaa zake hawajui chochote kuhusu hilo? ila Mexico duh
  14. JM K

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa Rais ungebadilisha kitu gani?

    Kwanza katiba mpya yenye kuipa kila mhimili nguvu kubwa bila kutegemea mwingine na adhabu iwe ni kifo risasi hadharani kwa wezi wa mali za umma au wanaosign mikataba mibongo ya kuigharimu nchi, mikataba yote iwe wazi na ijadiliwe bungeni... Kuwa waziri lazima kufanyike vetting sio kuteua tuu...
  15. JM K

    JamiiForums Tanzania Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

    Well said [emoji122]
Back
Top Bottom